Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Fitina tu za kijinga, lengo kumchafua Rais anayekuwepo ikulu kwa wakati husika. Ukiondoa RIP Rais Nyerere marais wote watano waliaomfuatia aidha wao wenyewe wake zao au watoto zao wamehusishwa na kashfa. Ukichunguza sana lengo kumchafua mheshimiwa.Mnaliwa mkiwa mnadai ushahidi na hakuna kitu mtawafanya kwa sababu mkiweka ushahidi wana block shenzi zenu