Na ndio maana hata nauli wamejipandishia tu wenyewe na wanajua hakuna atakayeweza kupinga maana huyo mwana mfalme ndiye Naibu Rais.Wanajua yote yanayoendelea mradi wa Mwendokasi kua;
Wanajua mengi sana na mioyo yao imechoka mnoo wako tayari kwa lolote
- Emirate wamewekwa kama bortion lakini nyuma ya pazia yupo Mwanae
- Wanajua kua anae endesha mradi wa mwendokasi wasasa hivi anakula na baadhi ya viongozi ndio maana kufanya maboresho imekua shida sana na hakuna kitu wanaweza mfanya
- Wanajua kua mnagawana familia miradi na tender kubwa kubwa zote na ikitokea kapata mtu tofauti atasumbuliwa sana malipo yake
Weka ushahidi vinginevyo yanakuwa yale ya miaka ya 90 wakati kila biashara kubwa ikasingiziwa kwamba ni mali ya Mama Siti Mwinyi.Wanajua yote yanayoendelea mradi wa Mwendokasi kua;
Wanajua mengi sana na mioyo yao imechoka mnoo wako tayari kwa lolote
- Emirate wamewekwa kama bortion lakini nyuma ya pazia yupo Mwanae
- Wanajua kua anae endesha mradi wa mwendokasi wasasa hivi anakula na baadhi ya viongozi ndio maana kufanya maboresho imekua shida sana na hakuna kitu wanaweza mfanya
- Wanajua kua mnagawana familia miradi na tender kubwa kubwa zote na ikitokea kapata mtu tofauti atasumbuliwa sana malipo yake
Mama yako Mzazi anayejua yuko wapi?Tz haitakuja kuongozwa tena na serikali ya hovyo kama ya huyu mama, hana anachokijua kichwani!.
Mnaliwa mkiwa mnadai ushahidi na hakuna kitu mtawafanya kwa sababu mkiweka ushahidi wana block shenzi zenuWeka ushahidi vinginevyo yanakuwa yale ya miaka ya 90 wakati kila biashara kubwa ikasingiziwa kwamba ni mali ya Mama Siti Mwinyi.
Mnapokuja na habari za namna hii zisizo na ushahidi mnatengeneza fitina miongoni mwa wananchi, madhara ya dhambi siku zote huwa mauti.
Mnatengeneza bomu jipya badala ya lile la October 29 mwaka jana kudhibitiwa.
binafsi kama wakigawana wakapeana wao kwa wao ila kazi ikafanyika na maboresho yakafanyika, sina shida, cha muhimu hela waipate kwa kuifanyia kazi kuliko angekula mzungu. hata abdul akitaka kubeba tenda zote ila kilichotakiwa kujengwa kijengwe, sina shida. tatizo ni pale wataweka hela mfukono halafu hakuna wanafanya.Wanajua yote yanayoendelea mradi wa Mwendokasi kua;
Wanajua mengi sana na mioyo yao imechoka mnoo wako tayari kwa lolote
- Emirate wamewekwa kama bortion lakini nyuma ya pazia yupo Mwanae
- Wanajua kua anae endesha mradi wa mwendokasi wasasa hivi anakula na baadhi ya viongozi ndio maana kufanya maboresho imekua shida sana na hakuna kitu wanaweza mfanya
- Wanajua kua mnagawana familia miradi na tender kubwa kubwa zote na ikitokea kapata mtu tofauti atasumbuliwa sana malipo yake
As long as mabasi yapo na yanakuja kwa wakati na unalipwa nauli sahihi, inatosha!! Haya mambo ya nani anaeendesha siyo ISSUE ya kutupotezea muda.Wanajua yote yanayoendelea mradi wa Mwendokasi kua;
Wanajua mengi sana na mioyo yao imechoka mnoo wako tayari kwa lolote
- Emirate wamewekwa kama bortion lakini nyuma ya pazia yupo Mwanae
- Wanajua kua anae endesha mradi wa mwendokasi wasasa hivi anakula na baadhi ya viongozi ndio maana kufanya maboresho imekua shida sana na hakuna kitu wanaweza mfanya
- Wanajua kua mnagawana familia miradi na tender kubwa kubwa zote na ikitokea kapata mtu tofauti atasumbuliwa sana malipo yake
Mama Sitti alihusika na uharamia mwingi, dhahabu na dollars zilizoshikwa DIA(back then) hivyo hakuwahi kuhusishwa na mambo ambayo hakuwa akiyafanya. I could give you(if it was safe) the names waliokuwa staff wa DIA enzi hizo.Weka ushahidi vinginevyo yanakuwa yale ya miaka ya 90 wakati kila biashara kubwa ikasingiziwa kwamba ni mali ya Mama Siti Mwinyi.
Mnapokuja na habari za namna hii zisizo na ushahidi mnatengeneza fitina miongoni mwa wananchi, madhara ya dhambi siku zote huwa mauti.
Mnatengeneza bomu jipya badala ya lile la October 29 mwaka jana kudhibitiwa.
Roho mbaya tu zinatujaa wabongo. Mbona alipostaafu hakuna aliyeendelea na tuhuma hizo?.Mama Sitti alihusika na uharamia mwingi, dhahabu na dollars zilizoshikwa DIA(back then) hivyo hakuwahi kuhusishwa na mambo ambayo hakuwa akiyafanya. I could give you(if it was safe) the names waliokuwa staff wa DIA enzi hizo.