Fitina tu za kijinga, lengo kumchafua Rais anayekuwepo ikulu kwa wakati husika. Ukiondoa RIP Rais Nyerere marais wote watano waliaomfuatia aidha wao wenyewe wake zao au watoto zao wamehusishwa na kashfa. Ukichunguza sana lengo kumchafua mheshimiwa.
These elites are untouchables, mama Anna Mkapa naye(kwenye tenders za serikali) alikula/alipiga sana. How was she getting those tenders, hilo litabaki kuwa kitendawili.
Fitina tu za kijinga, lengo kumchafua Rais anayekuwepo ikulu kwa wakati husika. Ukiondoa RIP Rais Nyerere marais wote watano waliaomfuatia aidha wao wenyewe wake zao au watoto zao wamehusishwa na kashfa. Ukichunguza sana lengo kumchafua mheshimiwa.
Huyu kazidi sana aisee kula hatukatai lakini kua na kiasi basi mzee baba sasa wewe unakula mpaka unataka na house boy nae umpe hata airport ni vile tu houseboy anakosekana