lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,038
Kampuni huwa zinauzwa baada ya kufilisika au kupungukiwa uwezo wa kujiendesha, je ilikuwa hivyo kwa BP?hawajajipndoa Bali bp iliuzwa kwa puma energy! usitoe taarifa za uongo kama hauna data
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampuni huwa zinauzwa baada ya kufilisika au kupungukiwa uwezo wa kujiendesha, je ilikuwa hivyo kwa BP?hawajajipndoa Bali bp iliuzwa kwa puma energy! usitoe taarifa za uongo kama hauna data
Ukiendelea kuamini hivi ni sawa lakini ni hatari kwako. Hebu google annual turnover ya BP kuelewa wana mtaji kiasi gani then linganisha kiasi walichotakiwa kufidia Gulf of Mexico na unachosema au kiasi walichopata kwenye hiyo 'biashara' ya tz.Kwa taarifa yako BP waliuza biashara zake kwa Puma ili kupata pesa ya kulipia FINE kubwa waliopigwa na serikari ya marekani baada ya mabomba yao kupasuka na kuchafua bahari ya eneo la Gulf of Mexico. Na biashara walizo uza ni za nchi nyingi za kusini mwa Afrika, huku wakiiacha Afrika Kusini kama sijakosea.
Shell nao walishafunga biashara zao Tanzania kabla hata kikwete hajaingia madarakani. Ila wabongo ukitaka kuongea kuhusu hivi vituo vya mafuta ili wakuelewe kwa haraka zaidi sema shell utaeleweka ila ukisema sijui petrol station utawaacha njia panda wengi sana.Mmmh hichi kituo cha mafuta kinachoitwa shell kipo maeneo gani kwa dar
Ukiona udhia chukua hatua (Sio penyeza Rupia)Dawa nikwenda na kidumu chako sheli baasi unapaki gari pembeni unachukua kidumu unanunua mafuta yako unajaza kwenye gari unasepa
Hii inaonekana sana.kuna wizi mkubwa sana kwenye mafuta ya sheli apa mjini
Adi inafikia mda mtu unatamani uichome sheli moto
Na pia ni sheli gani hazina wizi huu na nini kifanyike
Karibuni kwa mahojiano mazurmazur
ThanksKuna wizi wa aina nyingi mi naoujua ni huu. Let's say umefika kwa mhudumu ukapaki gari na kumwambia akuwekee mafuta ya 30,000 bila kuangalia kwenye mita yake kabla yako alikuja mtu akaweka mafuta ya 5,000 na haku reset pale kwenye display kwa haraka haraka anaendelea pale alikoishia ya 5,000 na ili usimstukie anakuja kukusemesha ili kukuondolea attention yako kwa hiyo hapo utakuwa ushakamatwa na umewekewa mafuta ya 25000 badala ya 30000. Nishawakamata kama watatu wakifanya hivyo na waliniongezea haki ya yangu
zinaitwa GBP mkuuvipi hizi za GP wanauzaga kwa bei za chini za ewura,,,,
Bila kuwasahau oilcom tabata segerea ni nomaaaa, mi niliweka mafuta ya 20000 nkakiwasha kuelekea kinyerezi ile nafika magereza pale darajani taa ikawaka nlitukana njia nzimaHii imeshanitokea mara tatu Shell za OIL COM!
Mara ya kwanza ilikuwa OIL COM ya Njia ya Chini kule kawe karibu na Uchumi supermarket,
Mara ya Pili ni OIL COM ya Magomeni ukiwa umetokea njia ya Tandale
Mara ya tatu hii imenitokea Juzi kabisa weeknd hii maeneo ya Mbezi Tank Bovu ukitoka kanisa la KKT kwa mbele ukiwa unaelekea mwenge,Jamaa kaweka upepo kanipa na risiti Gauge haikusoma, Iliniuma sana! Ikabidi nikaweke tena VICTORIA mpaka leo nipo full
I swear ni Bora Gari Izime lakini sitaweka tena Mafuta ktk shell za OIL COM.
**Kama unadhani nawaharibia biashara, subiri yakukute****
Dah..kwa ishu ya ujazo wa mafuta kuathirika kwa mabadiliko ya joto ni kama haipo...kwa sababu hesabu za vimiminika hupimwa kwenye nyuzi joto 20 za sentigredi ndiyo maana matenki hufukiwa chini ya ardhi ambako mara nyingi joto huwa kwenye nyuzi joto 20 - 22 za sentigredi...... kwa mfano lita 1000 za mafuta ya petrol huongezeka kiasi cha lita 0.93 kwa kila nyuzi 10 za sentigredi zinavyoongezeka....🙂🙂Utaratibu ni kujaza fully tank mpk iishe ndio najaza tena, ishu za kuweka vibaba ndio huwezi hata kutrace kituo gani ni poa na gani ni vby.
Mkuu hii kitu nimeshuhudia jana, iliniuzi sana lakini nilishindwa la kufanya.Usijaze nusunusu, jaza fulltank ikipungua ongeza kiasi kilichupungua, hautaibiwa.Kwasababu utakuwa unajua matumizi mathalani toka nyumbani hadi ofisini lita ngapi?? na ndizo utakazokuwa unajaza kila siku.Hii inaonekana sana.kuna wizi mkubwa sana kwenye mafuta ya sheli apa mjini
Adi inafikia mda mtu unatamani uichome sheli moto
Na pia ni sheli gani hazina wizi huu na nini kifanyike
Karibuni kwa mahojiano mazurmazur
Yeah kweli kabisa unachosema mkuuu, ilishanitokea live bila chenga, wankuelekeza kwenye pump ambako wanapigia upepo nusu mafutaa nusu....chunga sana wale wanaokwambia SOGEA MBELE hawa wanataka usione ile mita inavyosoma kueni makini nao au mmoja anachukua hela mmoja anakujazia mafuta kuwa makini huyu anayechukuwa hela anakuwa anakuziba au kukufanya usiwe makini na mita ingawa sio wote lakini tahadhari muhimu.
Unachosema mkuu ni sahihi kabisa lakini kwa mkuu wa kaya wa sahivi...🙄😡😕😵 na mwendo kasi bila kusahau mnyoosho uliopo kila kona na sekata zote za uchumi/........NI SHIDA bROMkuu hii kitu nimeshuhudia jana, iliniuzi sana lakini nilishindwa la kufanya.Usijaze nusunusu, jaza fulltank ikipungua ongeza kiasi kilichupungua, hautaibiwa.Kwasababu utakuwa unajua matumizi mathalani toka nyumbani hadi ofisini lita ngapi?? na ndizo utakazokuwa unajaza kila siku.