Mnaonunua Alibaba na Aliexpress; Je, washaanza kutuma bidhaa baada ya corona?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Kipindi cha corona China kila kitu kilisimama na hali ilikua tete sana na biashara nyingi zilikwama.

Na kwa upande wa aliexpress na alibaba na aliexpress pia biashara zilikwama kabisa kukawa bidhaa hazifiki na jumla biashara zilisimama.

Sasa hivi China corona ilishakwisha na biashara zimerudi nambieni wakuu wale wanaonunua kule, je tayari wameanza kutuma bidhaa?

Wangapi wameagiza mizigo na ikafika vizuri kwa kipindi hiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi cha corona China kila kitu kilisimama na hali ilikua tete sana na biashara nyingi zilikwama.

Na kwa upande wa Aliexpress na alibaba na aliexpress pia biashara zilikwama kabisa kukawa bidhaa hazifiki na jumla biashara zilisimama.

Sasa hivi China corona ilishakwisha na biashara zimerudi nambieni wakuu wale wanaonunua kule, je tayari wameanza kutuma bidhaa?

Wangapi wameagiza mizigo na ikafika vizuri kwa kipindi hiki?
 
Nimerudishiwa pesa mara mbili, aisee bado kabisa kabisa mambo hayajawa vyema.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri unatmrudishiwa pesa kama hujapata mzigo so ni kijalibu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila unakuwa umepoteza muda sana. Yaani miezi mitatu minne unakuja kugundua ulichoagiza huwezi kukipata. Vipo ambavyo supplier alishindwa ku deliver aka cancel order baada ya miezi miwili. Kuna vingine nilipotaka ku complain, suggestion niliyopea ni kuwa mpole tu maana covid 19 imeathiri supply chain
 
Kama ni kikuu tambua umetoa sadaka mkuu kikuu sio waaminifu
Mhhh...mtu wangu wa karibu alianza kununua Kikuu Disrmba,hajawahi tapeliwa....labda wanatapeli mizigo ya mamilioni ,Ni kweli Feb na Aprili usafirishaji ulikuwa unachukua miezi 2,wiki Jana kuchukua kamxigo kake baada ya wiki 2!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…