Iyo ni toilet ya masterDaaah katika ramani ya ovyo hii ipo yani kuingia master bedroom kitu cha kwanza kukiona ni CHOO!!Big NO kwangu
Ukimudu maisha hayo utaishi kama matajiri wa Ulaya, kila kitu unakula fresh na organic. Ukifagia banda la kuku mbolea unamwaga kwenye kitalu cha mchicha.Ndoto zangu ni kuwa na nyumba yangu smbayo ipo ndani ya hekari moja,humo ndani naendesha migufo na kilimo cha hapa na pale kama vile mihogo,viazi,maboga,bustani n.k
Safi sana hii ndiyo mawazo ya ki self reliance. Uchumi wa nyumbani. Home based economy.Ndoto zangu ni kuwa na nyumba yangu smbayo ipo ndani ya hekari moja,humo ndani naendesha migufo na kilimo cha hapa na pale kama vile mihogo,viazi,maboga,bustani n.k
Navizia maeneo ya vikindu kule vianzi kwa mbele,naskia kuna maeneo yanauzwa unapata mpaka kwa 2M hekari moja.Safi sana hii ndiyo mawazo ya ki self reliance. Uchumi wa nyumbani. Home based economy.
Bro utakakopatia kiwanja nishtue na mm niwe jirani yako💪
Pwaniii sijaiwazia kusettle huko, ije morogoro morogoro hivii.Navizia maeneo ya vikindu kule vianzi kwa mbele,naskia kuna maeneo yanauzwa unapata mpaka kwa 2M hekari moja.
Hii nyumba ni kubwa sana.View attachment 2230582
Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo.
Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi.
Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza kuvuna maji ya mvua na kwakua hukai sana huko tank la litre 5,000 likijaa linakutosha kabisa.
Haka katamu ...kanaweza kula milion ngapi?View attachment 2230582
Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo.
Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi.
Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza kuvuna maji ya mvua na kwakua hukai sana huko tank la litre 5,000 likijaa linakutosha kabisa.
Duh million zote hizo jamani mbona huu ujenzi umekuwa balaaa...vijana wacha tuendelee kula mbususu tuu.Inategemea material unayotumia, kama ni bati la Msouth jiandae zaidi lakini kwa milioni 50 unamaliza
Morogoro ni sehemu ambayo niliplan kuishi mwanzo kutokana na kuwa ni eneo zuri saana.Pwaniii sijaiwazia kusettle huko, ije morogoro morogoro hivii.
Naomba utuwekee na wewe ya kwako hata uliyochora kwa mkono ili tujue kweli unajua ku designDaaah katika ramani ya ovyo hii ipo yani kuingia master bedroom kitu cha kwanza kukiona ni CHOO!!Big NO kwangu
Naungana na wewe Mkuu!Daaah katika ramani ya ovyo hii ipo yani kuingia master bedroom kitu cha kwanza kukiona ni CHOO!!Big NO kwangu