Mnaonunua viwanja kama uwezo upo nunua kiwanja kinachotosha nyumba ya pili ndogo

Ukimudu maisha hayo utaishi kama matajiri wa Ulaya, kila kitu unakula fresh na organic. Ukifagia banda la kuku mbolea unamwaga kwenye kitalu cha mchicha.

Ukitaka kufaidi usiwe mvivu, unaamka saa kumi na mbili unafanya kazi mpaka saa tano unapumzika, saa kumi unafanya kazi mpaka saa 12 unamaliza siku. Unaoga na kuchukua chupa ya bia baridi kutoka kwenye fridge na kuangalia taarifa ya habari.

Utaona mayai, mboga na matunda unatoa shambani, gharama yako labda kununua mafuta ya kula, unga wa mahindi na wa ngano pamoja na mchele.
Umegusa moyo wangu. Hayo maisha nayatamani sana na nitayapigania.
 
Unadesign kagorofa ambapo master inakuwa na garden view, bacon au sehemu ya kupumzika
 
View attachment 2230582
Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo.

Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi.

Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza kuvuna maji ya mvua na kwakua hukai sana huko tank la litre 5,000 likijaa linakutosha kabisa.
Fundi Kaijage, hii ni nyumba ndogo kweli!? Hata kwetu Kyamuhura, kule Katoke haiwezi kuwa nyumba ndogo unless ulimaanisha nyumba ya mke mdogo! Basi tuwekee na vipimo au inatosha kwenye uwanja wa vipimo gani Kaijage!?
 
Umegusa moyo wangu. Hayo maisha nayatamani sana na nitayapigania.
Kuyatamani, kitu kingine, kuyaishi kitu kingine, kuyapata KITU KINGINE! Wanasema maono, in this context, malengo au goal, kama hayafanyiwi kazi, yanabakia kuwa WISHES yaani MATAMANIO tu!
 
Ili Chuma kiwe master toilet inapaswa kuwa accessed Kwa ndani ,

Sasa hiyo master bed room gani choo hadi utoke nje koridon?!
 
Kuyatamani, kitu kingine, kuyaishi kitu kingine, kuyapata KITU KINGINE! Wanasema maono, in this context, malengo au goal, kama hayafanyiwi kazi, yanabakia kuwa WISHES yaani MATAMANIO tu!
Uko sahihi kabisa.

Lakini kumbuka kwamba, ili uyaishi maisha ya ndoto yako, ni lazima kwanza uanze na kuyatamani, na kisha kuyapigania.

Ukipambana kwa mafanikio, utayaishi tu.
 
Morogoro ni sehemu ambayo niliplan kuishi mwanzo kutokana na kuwa ni eneo zuri saana.

Mambo yangu yakinyooka nitakuwa mkazi wa pwani au mororogo.
Unajenga Kote, Jenga 1 Pwani, nyingine Morogoro, Likizo na watoto mnaenda Moro.

Likizo ikiisha mnarudi Pwani,Katika vitu nitavifanya sana ni kujenga nyumba nyingi kila mkoa niliowahi tamani kuishi.

Tunatafuta pesa ili tuzitumie,mtu unatamani kwenda mwanza kutalii ila ukiwaza gharama za hotel kwa kpnd utakachokua kule zinakatsha tamaa, solution n kuwa na nyumba Kule.

Uzee usipojipanga vizuri utafariki haraka kwa kukaa sehemu 1.
 
Hahahahhaah aiseeee.

Ni wazo zuri mkuu umelitoa
 
Hujaielewa, ukiingia master’s bedroom unaona kitanda na dirsha, choo kiko upande wa mlango wa kuingilia.
Hata hivyo marekebisho kidogo yanatakiwa, vingonevyo hiko choo sio cha master. Mlango wa master usogee karibu na wa jikoni, asipige kelele mtu hapa, hii nyumba ni ndogo kwa familia ndogo, ukiingia master kushoto unaenda toilet na kabati la nguo hapo pembeni ya sink Muundo wa madirisha unaingiza hewa kwa kila chumba.
 
Back
Top Bottom