Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Kufanyakazi kwa bidii zote.
Usimssikikize mtumishi mwenzio fuata sheria za kazi.
Jambo usilolijua la kiutumishi kabla ya kuchukua hatua uliza. Usiwaulize watumishi wapya uliza wale senior.
Fomu za mikataba uwe makini na vipengele, kwa mfano place of domicile.
Jizoeze kuamka saa 11 kasoro alfajiri. Hakikisha kabla ya saa moja na nusu uwe umeingia ofsini. Na panga Mpango wansiku hiyo wewe mwenyewe kutokana na ile ya kitengo.
Hakikisha una diary note majukumu ya kiutekelezaji. Usifanyie mazoea na usiache akili ikusaidie kukumbuka kisaidie kichwa kukumbuka kwa kunote kila hatua.
Mavazi, zingatia sana. Mavazi ni kielelezo cha mwanamke uonekane na heshima na upate mume. Kama ni kijana upate mke. Zaidi ni kwa wadada hii ni nafasi pekee.
Mikopo, kopa kwa sababu maalum. Vijana wa kiume nunua kiwanja mapema. Usihofu na sehemu uliyopangwa kazi, nunua na jenga kibanda chako kitakusaidia baadae. Ukihama bado kitakuingizia kipato. Usikope mshahara wote. Kwa mfano..una 730000/- hakikisha unabaki na 500,000 nyingine kopa. 930,000/- hakikisha una laki 7 take home. Usikope kope kwa tamaa. Kamaunataka gari anza nalo, kama unataka kujenga anza na kiwanja.
Kama ndio una bachelor muda wa kusoma zaid Kwa wenye malengo ya kupanda zaidi ya degree moja. Usisubiri uzeeni. Usikae sana ndio ukasome tena. Sheria inakuruhusu kwenda kusoma baada ya miaka 3 kazini. Hapa naomba niweke sawa. Kuna faida ya kuomdoka mapema kwenye Masomo zaid na hasara ipo vile ville. Nifafanur hapa. Ukienda kusoma mfululizo kuna kitu inaitwa experience na kw Kweli mjue experience inapatikana wkt huo.
Ukiondoka utakosa ukienda utapata level ya juu bila experience. Hapa hata ishu za kupanda cheo haitakuhusu.
Nakonfess kwamba unaenda kusoma mapema hutapata hata ile fursa ya cheo cha madaraka haraka.
Mwisho. Dua kwa Mungu....swali sana. Msiende kwa waganga ni hatari kwa nyota zenu Mshana Jr anajua hili jambo