Mnaoomba kazi TAMISEMI mkijaaliwa na mola mkapata, zingatia haya...

Kuajiriwa?? Vijana msipende mambo ya kuajiriwa na kama unaenda kuajiriwa nenda huko katafute mtaji tu kisha ujiajiri. Yakupasa uwe mtu wa kuwaza mambo makubwa siyo tu kujenga kanyumba na kununua kagari. Anyway nisiongee sana

Nb, mnaopenda kuajiriwa mleta uzi ametoa ushauri mzuri, ila kumbukeni hata matajiri wa dunia hakuna hata mmoja aliyeajiriwa. Mwezi mmoja unasubiri vilaki 8???
 
Nyie jobless wa HR mna naneno mno[emoji16]
 
Mavazi, zingatia sana. Mavazi ni kielelezo cha mwanamke uonekane na heshima na upate mume.
Tena hapa ndio uwakaripie kabisa hawa wakina figo76 wakaropie haswa waelewe sio wanavaa km wanaenda kufanya bishara fulani hivi ya mwilini
 
Kuajiriwa?? Vijana msipende mambo ya kuajiriwa na kama unaenda kuajiriwa nenda huko katafute mtaji tu kisha ujiajiri. Yakupasa uwe mtu wa kuwaza mambo makubwa siyo tu kujenga kanyumba na kununua kagari. Anyway nisiongee sana

Nb, mnaopenda kuajiriwa mleta uzi ametoa ushauri mzuri, ila kumbukeni hata matajiri wa dunia hakuna hata mmoja aliyeajiriwa. Mwezi mmoja unasubiri vilaki 8???
😂😂
 
Naongezea, kijana acha mawazo ya kula tunda kimasihara, na wewe binti acha kutengeneza mazingira ya kuliwa tunda kimasihara.
 
Back
Top Bottom