antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Nakazia ✍️✍️Mavazi, zingatia sana. Mavazi ni kielelezo cha mwanamke uonekane na heshima na upate mume. Kama ni kijana upate mke. Zaidi ni kwa wadada hii ni nafasi pekee
Mdada akipenda kuvaa kihuni atatumika sana lakini kuolewa ni hakuna kabisaa... Mwishowe atafikiri kalogwa kumbe sivyo!