antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Nakazia ✍️✍️Mavazi, zingatia sana. Mavazi ni kielelezo cha mwanamke uonekane na heshima na upate mume. Kama ni kijana upate mke. Zaidi ni kwa wadada hii ni nafasi pekee
Sii unaongeza mke ya piliTunashukuru Mama Edina,,,,Msalimie Edina ningefurahi sana kama ningebahatika uwe Mama mkwe wangu lakini ndio hivyo wakina Edina wengine wameshatuwahi na tunashukuru tunasukuma nao maisha mudogomudogo!!!
Nyie shauri yenu mnataka kuoa ngongozo alafu bado anatombwer ndio utaumia zaidi.Nakazia ✍️✍️
Mdada akipenda kuvaa kihuni atatumika sana lakini kuolewa ni hakuna kabisaa... Mwishowe atafikiri kalogwa kumbe sivyo!
View attachment 2595874
Soma vizuri bhana.Nyie shauri yenu mnataka kuoa ngongozo alafu bado anatombwer ndio utaumia zaidi.
Bora uoe mzuri ata akitombaer unaona poa tuu sii mzuri🤣🤣🤣🤣🤣
Ulionaga wapi mwanamke mbaya akavaa mavazi ya kunyegesha wewe bwana🤣🤣🤣🤣Soma vizuri bhana.
Nimeongelea MAVAZI tu, siyo uzuri
We wadanganye tu uwatumie wee, wakija kushtuka washakuwa obsolete, we unatafuta wife material chap😁Ulionaga wapi mwanamke mbaya akavaa mavazi ya kunyegesha wewe bwana🤣🤣🤣🤣
Sasa nawadanganyi vipi wakati ndio ukweli wenyewe huo. Mwanamke sexy ndio utaona anavaa sijui mini skirt, leggings, biker shorts u name it.We wadanganye tu uwatumie wee, wakija kushtuka washakuwa obsolete, we unatafuta wife material chap😁