Mnaopakia watoto seat za mbele za gari, tafadhali airbag zinaua

Mzungu sio mjinga sana kuleta hii kitu kama ingelikuwa na madhara mengi kuliko faida naamini isingekuwepo

Wiki chache zilizopita jamaa yangu alili-vaa lori likiwa limepaki, right kama hiyo airbag isinge-furumuka tungenena mengine!.

Mzungu anafikiri sana sisi tuendelee kula ugali tu

 

Anyway labda sijaielewa point yako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimependa hicho umesema kinakatika.... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Serikali imekusudia kupeleka bungeni mwaada wa mabadiliko ya Sheria ya usalama barabaran ikiwemo kumpakia mtoto chini ya miaka 12 mbele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…