Mnaopekua simu za wapenzi/waume/wake zenu huwa mnataka nini kifuate?

Kuna binti kaja kwenye kikundi leo analia, jana mume karudi nyumbani amelewa binti kafungua simu amekuta meseji za kimapenzi za wanawake, picha za utupu kutoka kwa wanawake watatu na wawili kati yao ni wafanyakazi wenzake na mumewe. Asubuhi hii ameondoka nyumbani akaenda kanisani na hajaongea na mumewe bado.

Nina swali la msingi kwa wapekua simu: Hivi, mkiwa mnapekua hizo simu za wapenzi au wenza wenu, huwa mnafikiria na next step itakua nini? kama unahisi mume au mke anachepuka, je ukimkamata ni kweli anachepuka utafanyaje? au mnapekuaga tu ili umshike na kosa ila hujafikiria kitakachofuata.

Haya mshaurini huyu mwanamke mwezetu afanyaje maana haelewi cha kufanya. Ndoa ina miaka 8, wana watoto wawili, yeye ni mama wa nyumbani na kama familia wanajiweza kiasi kiuchumi.

Msisahau, kupekua simu ni kosa la jinai:
View attachment 3254745

View: https://youtu.be/y8jYZw60zPw?si=WOl6F_9z4FbSdgdN

Kwani ni kosa kukagua simu ya mtunmliefunga naye ndoa? Kwa sheria ipi?
 
Sio hao tu. Huwa nawashangaa na wale wanaopima pima Ukimwi. Leo kapima kakutwa hana, kesho atapimwa atakutwa hana na kesho kutwa atakutwa hana pia. Yaani anakaa anautafuta kama anao.

Ila akija akapimwa na kukutwa anao, anaanza kulia
 
Kuizima
Kuna binti kaja kwenye kikundi leo analia, jana mume karudi nyumbani amelewa binti kafungua simu amekuta meseji za kimapenzi za wanawake, picha za utupu kutoka kwa wanawake watatu na wawili kati yao ni wafanyakazi wenzake na mumewe. Asubuhi hii ameondoka nyumbani akaenda kanisani na hajaongea na mumewe bado.

Nina swali la msingi kwa wapekua simu: Hivi, mkiwa mnapekua hizo simu za wapenzi au wenza wenu, huwa mnafikiria na next step itakua nini? kama unahisi mume au mke anachepuka, je ukimkamata ni kweli anachepuka utafanyaje? au mnapekuaga tu ili umshike na kosa ila hujafikiria kitakachofuata.

Haya mshaurini huyu mwanamke mwezetu afanyaje maana haelewi cha kufanya. Ndoa ina miaka 8, wana watoto wawili, yeye ni mama wa nyumbani na kama familia wanajiweza kiasi kiuchumi.

Msisahau, kupekua simu ni kosa la jinai:
View attachment 3254745

View: https://youtu.be/y8jYZw60zPw?si=WOl6F_9z4FbSdgdN

Tunataka Kuizima na kulala
 
Back
Top Bottom