Mnaopekua simu za wapenzi/waume/wake zenu huwa mnataka nini kifuate?

Dawa(1st aid) ni simu kuinyuka password ya maana.

Mambo ya kuamka na furaha mnacheka vizuri, kwenda bafuni simu ipo kitandani, ukirudi hali ya hewa imebadiliiiika, wingu ni jeusi halafu inataka na kunyesha!

Mi kwangu haitokei hata siku hii, 1.
 
Hii inasaidia sana, ikiwezekana kila app unazilock na nywila pia.
kila mtu awe na faragha na simu yake!
 
Hii inasaidia sana, ikiwezekana kila app unazilock na nywila pia.
kila mtu awe na faragha na simu yake!
wee Aunt wewe acha kumpanga ndugu yetu haha
sasa kama huna madudu ya kuficha why ulock makufuli 200
 
Mbali na kazi flaniflani ambazo simu inaweza kuwa restricted kwa wife,ila sehemu za siri zinazidiwaje usiri na siri za kwenye simu!? Mtu umembenjulia mauno kachungulia mpaka ovaries , ila eti simu yake kushika ni mwiko, siku tukijua thamani ya sehemu zetu za siri kwenye simu kutakuwa hakuna siri ya maana kiasi Cha kumficha mwenza simu yako

Ila simu Ina siri za maana kwa sababu sehemu zetu za siri hazina thamani,

Hizo comments nimefuatilia mwanzo mwisho inaonyesha uzinzi Sasa ni sehemu ya maisha ya watu wengi na hivo wanajitahidi kutowajua wenza wao ili wajidanganye Wana Mahusiano thabiti,au wajifanye Wana amani,

Mtu akiachiwa simu chumbani na mumewe au mkewe ikaita Yuko radhi akimbie asione ni nani anapiga, maisha Gani hayo Sasa. Si Bora kuwa mtawa
Ubatili, ubatili ,ubatili,ubatili ubatili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…