Si Kweli kuwa Umaskini ndo chanzo Cha wanawake kupigwa na kukosa pa kwenda.Kazoea shida na hana pa kwenda ukizingatia kwao alipotoka nako hakueleweki lazima awe mpole🤣🤣🤣 umaskini mbaya👌
Sasa aende wapi na mapengo/mwanya wa kufosi ?Kuna jamaa amemramba kichwa mke wake mpaka akampopoa Meno ya mbele lakini mwanamke hataki kuondoka kwa msela...
Kuna wanawake wagumu nyiee me nimehudhuria
Doo Kazi kweli Yule mwanamke ni jasiri mnoKazoea shida na hana pa kwenda ukizingatia kwao alipotoka nako hakueleweki lazima awe mpole🤣🤣🤣 umaskini mbaya👌
Sasa zikipigwa ban si watu wote tutaokoka? HALAFU SASA ILI???!!!Sura Yako inaonyesha u mlevi, mpiga mke!!
Pombe zipigwe BAN[emoji120]
Wakati ameyapata hapohapo na walikubaliana watakua mwili mmoja mpaka kifoSasa aende wapi na mapengo/mwanya wa kufosi ?
Watoto wa matajiri wanachezea kichapo na sio kwamba hawana pa kwenda au kwao ni masikini.Kazoea shida na hana pa kwenda ukizingatia kwao alipotoka nako hakueleweki lazima awe mpole🤣🤣🤣 umaskini mbaya👌
Pombe ndo zimesababisha ulemavu na mateso Kwa mama zetu,Sasa zikipigwa ban si watu wote tutaokoka? HALAFU SASA ILI???!!!
Sent from my HUAWEI NMO-L31 using JamiiForums mobile app
Je Mimi Sio falsafa zangu kupigawanamke..Ila Kuna wanamke vichomi hawana malezi..anaweza akawa anatembea nje Na akaanza dharauSalaam, Shalom,
Ilikuwa yapata kama majira ya saa tatu hivi usiku, tulikuwa tumemaliza kupata chakula Cha usiku, tulikuwa tukijiandaa kufanya Ibada kabla ya kwenda kulala. Wakati huo nilikuwa na umri wa miaka 10.
Tukiwa katika kusubiri kuanza Kwa Ibada, nilisikia kishindo kikubwa, yaani nilisikia mlio mkubwa wa kitu kama ubao ukitua sehemu Fulani, mlio Ule ulitufanya wote kutahamaki kusikilizia Ule mlio na kishindo kile kilitokana na nini,
Baada ya sekunde kadhaa, tulisikia sauti kubwa ya KILIO Cha mwanamke aliyekuwa akilia KILIO Cha uchungu mkubwa, Kwa kuwa mshindo na kelele Ile ya ubao flat uliotua juu ya kitu tusichokijua ulifuatana na sauti ya kulia mwanamke yule, wote tulijua kuwa mwanamke yule ndiye aliyeangukiwa na kitu kile kizito.
Tukiwa katika kuhamaki nini kimetokea, yalisikika maneno ya mwanamke akimlalamikia mumewe kwanini amempiga vile, Mwanaume alisikika akisema nitakuonyesha, Rudi hapa.
Kumbe, Jirani yetu Mhaya, aliyekuwa amemuoa mwanamke wa Kikurya alikuwa akitoa somo la kawaida Kwa mkewe. Nilijiuliza hivi Kweli mwanamke anaweza kupigwa vile na mtu aitwaye mume na maisha yakiendelea?
Mwanamke yule Jirani alikimbilia kwao, na baada ya siku kadhaa ya kuuguza maumivu, alirudi Kwa mumewe na waliendelea na maisha kama kawaida, na vipigo havikukoma ndani ya familia Ile.
Leo Mimi ni mtu mzima, nimeshavuka umri wa Ujana, Bado najiuliza,
Wanaume mnaopiga wake zenu Huwa mnawapiga wapi?
Huwa mnakuwa mmetumia kilevi Gani?
Maana Kwa Utafiti nilioufanya, sijaona sehemu yoyote katika mwili wa mke wangu inayofaa kupigwa.
Kumpiga mke ni kukosa kujiamini, ni kushindwa kuongoza Kwa akili na BUSARA.
Mungu atusaidie.
Karibuni [emoji120]
Afie apo apo tu no way outWakati ameyapata hapohapo na walikubaliana watakua mwili mmoja mpaka kifo
Shetani anamhujumu Taasisi ya ndoa kupitia silaha ya POMBE.Wakati ameyapata hapohapo na walikubaliana watakua mwili mmoja mpaka kifo
Uza nyumba, kula pombe mkuu.....utakuja kunishukuru badae..😜Hata niwe na milioni mfukoni isiyo na KAZI,
Siwezi kumpa pesa mlevi akanywee POMBE!!
Kataa POMBE 🙏
Mungu awe kiongozi wa familia.Je Mimi Sio falsafa zangu kupigawanamke..Ila Kuna wanamke vichomi hawana malezi..anaweza akawa anatembea nje Na akaanza dharau
Kutwa kukukejeli, msosi hapiki...ipo siku utapandwa Na jazba japo umpe adabu
Yani hata kabla sijasoma uzi wako, niko hapaSalaam, Shalom,
Ilikuwa yapata kama majira ya saa tatu hivi usiku, tulikuwa tumemaliza kupata chakula Cha usiku, tulikuwa tukijiandaa kufanya Ibada kabla ya kwenda kulala. Wakati huo nilikuwa na umri wa miaka 10.
Tukiwa katika kusubiri kuanza Kwa Ibada, nilisikia kishindo kikubwa, yaani nilisikia mlio mkubwa wa kitu kama ubao ukitua sehemu Fulani, mlio Ule ulitufanya wote kutahamaki kusikilizia Ule mlio na kishindo kile kilitokana na nini,
Baada ya sekunde kadhaa, tulisikia sauti kubwa ya KILIO Cha mwanamke aliyekuwa akilia KILIO Cha uchungu mkubwa, Kwa kuwa mshindo na kelele Ile ya ubao flat uliotua juu ya kitu tusichokijua ulifuatana na sauti ya kulia mwanamke yule, wote tulijua kuwa mwanamke yule ndiye aliyeangukiwa na kitu kile kizito.
Tukiwa katika kuhamaki nini kimetokea, yalisikika maneno ya mwanamke akimlalamikia mumewe kwanini amempiga vile, Mwanaume alisikika akisema nitakuonyesha, Rudi hapa.
Kumbe, Jirani yetu Mhaya, aliyekuwa amemuoa mwanamke wa Kikurya alikuwa akitoa somo la kawaida Kwa mkewe. Nilijiuliza hivi Kweli mwanamke anaweza kupigwa vile na mtu aitwaye mume na maisha yakiendelea?
Mwanamke yule Jirani alikimbilia kwao, na baada ya siku kadhaa ya kuuguza maumivu, alirudi Kwa mumewe na waliendelea na maisha kama kawaida, na vipigo havikukoma ndani ya familia Ile.
Leo Mimi ni mtu mzima, nimeshavuka umri wa Ujana, Bado najiuliza,
Wanaume mnaopiga wake zenu Huwa mnawapiga wapi?
Huwa mnakuwa mmetumia kilevi Gani?
Maana Kwa Utafiti nilioufanya, sijaona sehemu yoyote katika mwili wa mke wangu inayofaa kupigwa.
Kumpiga mke ni kukosa kujiamini, ni kushindwa kuongoza Kwa akili na BUSARA.
Mungu atusaidie.
Karibuni 🙏
Tangu lini kipigo kimezuia mke mwenye TABIA ya UZINZI kuacha UZINZI?Siku atakapo nyanduliwa na kidume chengine huko utajua kwanini wanapigwa😂
Sijaelewa,Yani hata kabla sijasoma uzi wako, niko hapa
Hana pa kwenda huyoKuna jamaa amemramba kichwa mke wake mpaka akampopoa Meno ya mbele lakini mwanamke hataki kuondoka kwa msela...
Kuna wanawake wagumu nyiee me nimehudhuria
Huna pa kwenda.Hana pa kwenda huyo
Mimi ukinipiga tumeagana 😀
Wala sio pombe na kama ni pombe nitaondoka alale na hizo pombe kama ndo zinamfurahisha actually napenda mazungumzo tuzozane ila tusipigane sinamuda wa kumfanyia maombi mlevi wapo wagonjwa wanaohitaji maombiHuna pa kwenda.
Mume ni MMOJA tu, ubavu wako.
Solution ni kumgundua na kumfukuza huyo shetani wa kipigo, amtoke mumeo,
Maisha yaendelee.
Tukifanikiwa kufanikisha Pombe ikapigwa Ban, tutakuwa tumepiga hatua.