MAWEED
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 3,550
- 12,239
Nyie sindio feminine
Nyie sindio feminineHana pa kwenda huyo
Mimi ukinipiga tumeagana 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie sindio feminineHana pa kwenda huyo
Mimi ukinipiga tumeagana 😀
Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke.Nyie sindio feminine
Nyie sindio feminine
Hiyo fimbo yafaa itue sehemu ipi katika mwili wa mkeo pekee umpendae?Sio vilevi, Ni kama Adam angekuwa kwenye utulivu wa kutosha, alipoletewa habari ya Tunda Angekataa.
Angejua Eve, kakosa nidhamu ya Eden, Hivyo angechukua bakora na kumwadhibu.
Kutaja makabila hakuhusiani na tukio! Wewe ni mlevi pia!Salaam, Shalom,
Ilikuwa yapata kama majira ya saa tatu hivi usiku, tulikuwa tumemaliza kupata chakula Cha usiku, tulikuwa tukijiandaa kufanya Ibada kabla ya kwenda kulala. Wakati huo nilikuwa na umri wa miaka 10.
Tukiwa katika kusubiri kuanza Kwa Ibada, nilisikia kishindo kikubwa, yaani nilisikia mlio mkubwa wa kitu kama ubao ukitua sehemu Fulani paaaaaa!!👀, mlio Ule ulitufanya wote kutahamaki kusikilizia Ule mlio na kishindo kile kilitokana na nini,
Baada ya sekunde kadhaa, tulisikia sauti kubwa ya KILIO Cha mwanamke aliyekuwa akilia KILIO Cha uchungu mkubwa, Kwa kuwa mshindo na kelele Ile ya ubao flat uliotua juu ya kitu tusichokijua ulifuatana na sauti ya kulia mwanamke yule, wote tulijua kuwa mwanamke yule ndiye aliyeangukiwa na kitu kile kizito.
Tukiwa katika kuhamaki nini kimetokea, yalisikika maneno ya mwanamke akimlalamikia mumewe kwanini amempiga vile, Mwanaume alisikika akisema nitakuonyesha, Rudi hapa.
Kumbe, Jirani yetu Mhaya, aliyekuwa amemuoa mwanamke wa Kikurya alikuwa akitoa somo la kawaida Kwa mkewe. Nilijiuliza hivi Kweli mwanamke anaweza kupigwa vile na mtu aitwaye mume na maisha yakiendelea?
Mwanamke yule Jirani alikimbilia kwao, na baada ya siku kadhaa ya kuuguza maumivu, alirudi Kwa mumewe na waliendelea na maisha kama kawaida, na vipigo havikukoma ndani ya familia Ile.
Leo Mimi ni mtu mzima, nimeshavuka umri wa Ujana, Bado najiuliza,
Wanaume mnaopiga wake zenu Huwa mnawapiga wapi?
Huwa mnakuwa mmetumia kilevi Gani?
Maana Kwa Utafiti nilioufanya, sijaona sehemu yoyote katika mwili wa mke wangu inayofaa kupigwa.
Kumpiga mke ni kukosa kujiamini, ni kushindwa kuongoza Kwa akili na BUSARA.
Mungu atusaidie.
Karibuni 🙏
Unashauri niedit kufuta kabila la wahusika?Kutaja makabila hakuhusiani na tukio! Wewe ni mlevi pia!
Aisee Bora niambiwe hivo kwanza mwanaume Hana sababu ya kunipiga Huwa sikwazi mtu Kwa kiwango hiko sijawahiNyie sindio feminine
Nyie sindio feminine
😂😂😂Sio vilevi, Ni kama Adam angekuwa kwenye utulivu wa kutosha, alipoletewa habari ya Tunda Angekataa.
Angejua Eve, kakosa nidhamu ya Eden, Hivyo angechukua bakora na kumwadhibu.
Ndoa ni mpango Mtakatifu tangu mwanzo. Ni amri njema ya upendo utokao kwa baba.Salaam, Shalom,
Ilikuwa yapata kama majira ya saa tatu hivi usiku, tulikuwa tumemaliza kupata chakula Cha usiku, tulikuwa tukijiandaa kufanya Ibada kabla ya kwenda kulala. Wakati huo nilikuwa na umri wa miaka 10.
Tukiwa katika kusubiri kuanza Kwa Ibada, nilisikia kishindo kikubwa, yaani nilisikia mlio mkubwa wa kitu kama ubao ukitua sehemu Fulani paaaaaa!!👀, mlio Ule ulitufanya wote kutahamaki kusikilizia Ule mlio na kishindo kile kilitokana na nini,
Baada ya sekunde kadhaa, tulisikia sauti kubwa ya KILIO Cha mwanamke aliyekuwa akilia KILIO Cha uchungu mkubwa, Kwa kuwa mshindo na kelele Ile ya ubao flat uliotua juu ya kitu tusichokijua ulifuatana na sauti ya kulia mwanamke yule, wote tulijua kuwa mwanamke yule ndiye aliyeangukiwa na kitu kile kizito.
Tukiwa katika kuhamaki nini kimetokea, yalisikika maneno ya mwanamke akimlalamikia mumewe kwanini amempiga vile, Mwanaume alisikika akisema nitakuonyesha, Rudi hapa.
Kumbe, Jirani yetu Mhaya, aliyekuwa amemuoa mwanamke wa Kikurya alikuwa akitoa somo la kawaida Kwa mkewe. Nilijiuliza hivi Kweli mwanamke anaweza kupigwa vile na mtu aitwaye mume na maisha yakiendelea?
Mwanamke yule Jirani alikimbilia kwao, na baada ya siku kadhaa ya kuuguza maumivu, alirudi Kwa mumewe na waliendelea na maisha kama kawaida, na vipigo havikukoma ndani ya familia Ile.
Leo Mimi ni mtu mzima, nimeshavuka umri wa Ujana, Bado najiuliza,
Wanaume mnaopiga wake zenu Huwa mnawapiga wapi?
Huwa mnakuwa mmetumia kilevi Gani?
Maana Kwa Utafiti nilioufanya, sijaona sehemu yoyote katika mwili wa mke wangu inayofaa kupigwa.
Kumpiga mke ni kukosa kujiamini, ni kushindwa kuongoza Kwa akili na BUSARA.
Mungu atusaidie.
Karibuni 🙏
Mimi naamini ulevi unachangia pakubwa mama zetu kupigwa.Ndoa ni mpango Mtakatifu tangu mwanzo. Ni amri njema ya upendo utokao kwa baba.
Yahitajika hekima kuitunza hadi kifo kiwatenganishe 🐒
Mke si kidude cha kujaribu miguu yako, Mume si kipaza sauti cha kupigia kelele,
Mpendane msichokozane, Amani ya Bwana iwe ndani yenu.
Ni vizuri kuepuka mazingira ya kuamsha hasira za mwenzi wako kuepuka mafarakno ya ndoa, uharibifu na pengine mauaji na vifo.
ni miongoni tu mwa sababu za mafarakno na vichapo ndani ya ndoa.Mimi naamini ulevi unachangia pakubwa mama zetu kupigwa.
Kataa POMBE 🙏
Hapo no 5,ni miongoni tu mwa sababu za mafarakno na vichapo ndani ya ndoa.
Sababu nyingine ni pamoja na
1. wivu kupindukia
2. kutokua waaminifu
3. Ugumu wa maisha
4. Ushirikina na uchawi
5. Harakati zisizowezekana za kutaka usawa , nakadhalika nakadhalika
Acha ufara umengangana na pombe unakuwa kama demuMimi naamini ulevi unachangia pakubwa mama zetu kupigwa.
Kataa POMBE [emoji120]
Hakuna usawa baina ya mwanaume na mwanamke, pia hakuna usawa baina ya mume na mke hilo ndilo lijulikanalo enzi na enziHapo no 5,
Wanawake wajifunze kuwa,
Pana usawa kati ya mwanamke na Mwanaume,
Lakini haupo usawa kati ya MKE na MUME.
Kila mtu ni mtakatifu wakati akisimulia dhambi za mwenzie🤣🤣🤣.Tangu lini kipigo kimezuia mke mwenye TABIA ya UZINZI kuacha UZINZI?
Ukitaka mke asizini, usimfundishe UZINZI Kwa wewe kuwa na vimada na Malaya lukuki.
Mke hujifunza Toka Kwa mume.