Mnaopiga wake zenu huwa mnakuwa mmetumia vilevi? Mke hapigwi!

Nyie sindio feminine

Nyie sindio feminine
Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke.

Ila hakuna usawa kati ya Mke na Mume.

Mahusiano kati ya Mke na Mume ni ya mtu na msaidizi wake.
 
Sio vilevi, Ni kama Adam angekuwa kwenye utulivu wa kutosha, alipoletewa habari ya Tunda Angekataa.

Angejua Eve, kakosa nidhamu ya Eden, Hivyo angechukua bakora na kumwadhibu.
 
Sio vilevi, Ni kama Adam angekuwa kwenye utulivu wa kutosha, alipoletewa habari ya Tunda Angekataa.

Angejua Eve, kakosa nidhamu ya Eden, Hivyo angechukua bakora na kumwadhibu.
Hiyo fimbo yafaa itue sehemu ipi katika mwili wa mkeo pekee umpendae?

Fafanua๐Ÿ™
 
Kutaja makabila hakuhusiani na tukio! Wewe ni mlevi pia!
 
Sio vilevi, Ni kama Adam angekuwa kwenye utulivu wa kutosha, alipoletewa habari ya Tunda Angekataa.

Angejua Eve, kakosa nidhamu ya Eden, Hivyo angechukua bakora na kumwadhibu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ndoa ni mpango Mtakatifu tangu mwanzo. Ni amri njema ya upendo utokao kwa baba.
Yahitajika hekima kuitunza hadi kifo kiwatenganishe ๐Ÿ’

Mke si kidude cha kujaribu miguu yako, Mume si kipaza sauti cha kupigia kelele,
Mpendane msichokozane, Amani ya Bwana iwe ndani yenu.

Ni vizuri kuepuka mazingira ya kuamsha hasira za mwenzi wako kuepuka mafarakno ya ndoa, uharibifu na pengine mauaji na vifo.
 
Mimi naamini ulevi unachangia pakubwa mama zetu kupigwa.

Kataa POMBE ๐Ÿ™
 
Mimi naamini ulevi unachangia pakubwa mama zetu kupigwa.

Kataa POMBE ๐Ÿ™
ni miongoni tu mwa sababu za mafarakno na vichapo ndani ya ndoa.
Sababu nyingine ni pamoja na
1. wivu kupindukia
2. kutokua waaminifu
3. Ugumu wa maisha
4. Ushirikina na uchawi
5. Harakati zisizowezekana za kutaka usawa , nakadhalika nakadhalika
 
Hapo no 5,

Wanawake wajifunze kuwa,

Pana usawa kati ya mwanamke na Mwanaume,

Lakini haupo usawa kati ya MKE na MUME.
 
Hapo no 5,

Wanawake wajifunze kuwa,

Pana usawa kati ya mwanamke na Mwanaume,

Lakini haupo usawa kati ya MKE na MUME.
Hakuna usawa baina ya mwanaume na mwanamke, pia hakuna usawa baina ya mume na mke hilo ndilo lijulikanalo enzi na enzi
 
Tangu lini kipigo kimezuia mke mwenye TABIA ya UZINZI kuacha UZINZI?

Ukitaka mke asizini, usimfundishe UZINZI Kwa wewe kuwa na vimada na Malaya lukuki.

Mke hujifunza Toka Kwa mume.
Kila mtu ni mtakatifu wakati akisimulia dhambi za mwenzie๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Shukuru Mungu yako yanaenda salama, watu washakuta wake zao wanaitikia wimbo wa leo tunachezea maV, na kukuta eneo la tukio likiwa kama zizi kwa mbolea samadi mtu๐Ÿคฎ๐Ÿ˜ฅ

Message za "Huyu mshamba haya mat*k* makubwa anayapenda lakini hayawezi, wewe unagusa 0 na # zote hadi yanalia traaar,prrrr, pwiiih,pyuuh๐Ÿคฃ".

Wengine Message zinasema huyu fala anaulizia pesa zake, unajua zile nilizokupa alichukua mkopo kausha damu, sukari inamshuka kweli kweli...afe tu silipendi kwa kweli, sijui hata litakufa lini.

Na ukizubaa siku moja unapigwa wewe baada ya ku testiwa vipimo na kuonekana kuwa mnyumbulifu kama ngano,kwa chapati sawa, biskuti sawa,maandazi sawa,keki hayaa๐Ÿคฃ.

Sio tu mwanamke hata mtu tu akivuka line ya respect vizuri, mkande hadi atoe haemoglobin puani na mdomoni mixer na mchanga(ila uandae na kafidia kidogo) tena mchana kama saa 8 hivi,unakuwa umetuma ujumbe kwa jamii nzima kuwa upuuzi kwako hauvumiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ