kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Ni kuea na utovu wa nidhamu ya pesa, ila hamna pesa nyingi kila pesa haitoshi isipokuwa uwe na nidhamu ya pesa tu call it finance literacy.Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Sasa wewe unashagaa nini, Mimi hiyo yako nikijibana saaana, ni siku tatu zimeisha.Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Pombe haziwezi kumaliza hela yote kwa muda mfupi labda wanawakeUtakua mlevi wewe
We need to make the best reflection🤣🤣🤣Unafanya kazi office gani
NAKAZIAulipie tangazo
Kuna mwalimu wa sekondari anae pokea hiyo pesa kweli?Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Wapi tumesema tunatoboa? Kwa kifupi money inahitaji disciplineMimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Kuna watu hawana salary hata shilingi moja/kidogo na wanatoboaMimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Siyo rahisiKuna mualimu wa sekondari anae pokea hiyo pesa kweli?
Tupo mkuu na tunaishi[emoji1787]kuna watu hawana salary hata shilingi moja/kidogo na wanatoboa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ukipokea sana 240k