Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Kipato sio rizk...Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.