Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.

Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Tupeane mbinu hizo wakuu.
Acha ujana, tuliza akili
 
Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.

Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Tupeane mbinu hizo wakuu.
Nikwa Neema tu
 
una matumizi mabaya ya hela!!
 
Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.

Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Tupeane mbinu hizo wakuu.

Una matatizo, ili andiko lako liwe na uhalali lazima uelezee wategemezi wako, kama wewe una mke na watoto 6 unapata 1.2m na mimi naishi mwenyewe sina mke na mtoto, kwa nini 600,000 isitoshwe?
 
Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.

Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Tupeane mbinu hizo wakuu.
UMEWAWAZA MAJOBLESS?
 
Back
Top Bottom