Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Maisha ni yaleyale.
Kila mtu huishi sawa na kipato chake na wote hupata msongo wa mawazo.
Mwenye ghorofa ana msongo wa mawazo
Mwenye nyumba ya udongo ana msongo wa mawazo.
Mwenye take home ya 260000 ana msongo
Mwenye take home ya 2,000,000 ana msongo pia.
Mimi nilianza na mshahara wa take home ya laki 3.6 niliteseka na sasa nina take home ya milioni na laki 4 nateseka pia.
Kwa kipindi hicho ambacho umeanza kazi ungeanza angalau na degree Kwa Sasa ungekuwa unalipwa zaidi ya Milioni 4
 
Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.

Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Tupeane mbinu hizo wakuu.
Kwanza huna mshahara ww lakini pole kwa kuajiriwa tatu ww ni maskini na usipoangalia utakufa maskini
 
Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.

Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Tupeane mbinu hizo wakuu.
Punguza madeni mtaani hata laki tatu itakutana na mwezi mpya
 
Kuna mualimu wa sekondari anae pokea hiyo pesa kweli?
Wapo inategemea na muda aliyopo kazini, kwa sababu kila baada ya miaka mitatu anakuwa promoted na kama alianza na degree. Kwa mwalimu wa bachelor anaanza na basic ya 750000 baada ya miaka mitatu 990000,
 
Mimi Sina mshahara lakin mwezi unakatika bila stress apo niulize nafanya fanyaje? Mimi kazi yangu nikusolve problems tu. Yaan sisovu tatizo ambalo halijafika never nasolve lililo mbele yangu mpaka wife anacheka tu.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Wanawake wenye mishahara huwa wanawadharau sana wanaume wao ambao hawana mishahara
 
Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.

Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Tupeane mbinu hizo wakuu.
Unajiendekeza
 
Wanawake wenye mishahara huwq wanawadharau sana wanaume wao ambao hawana mishahara
Ni kweli Sina mshahara Nina mke ana mshahara lakin sijawahi omba hata mia na majukumu yanaenda kwa madili hivyo Sasa Kama sina kazi ya mshahara na maisha ndio yasiende? Mimi hapa dunian sijali kumhusu yeyote atakae ni dharau mi najali kuhusu wazazi wangu Kama wako salama hawana changamoto kingine Mungu nisitende dhambi labda za kupitiwa tuu mwanamke huwezi kumridhisha kwa mshahara hakimi asingefanyiwa vile kwani ana Kila kitu

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.

Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Tupeane mbinu hizo wakuu.
Ni mwendo wa kupooza madeni, japo maisha ni consistence
 
Back
Top Bottom