Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.

Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Tupeane mbinu hizo wakuu.
Sukari huwa kuna mahali inauzwa vimfuko vya robo robo, mkate unauzwa kwa slices, kabeji inakatwa mpaka robo.

Pia kuna sehemu ukitaka robo kilo ya sukari hupati?

Hii ni kukwambia maisha yanawezekana ni uoga tu huwa unatusumbua.
 
Back
Top Bottom