Tulia mtoto mdogo (in TID voice)Hapana mkuu, ukishiba usikufuru basi. Kuna watu mjini wana kipato kidogo kweli kweli, kwa sisi tuliokaa uswahilini, mshahara wa laki 2 ni mkubwa tu eti na mtu anaheshimika😂, analipa pango 30k kwa mwezi uhakika, usitushangae mkuu, tunaishi vizuri tu kwa nusu milioni.
Ni sawa mkuu, ukiwa naa kipato lazima uitwe mzee, ila sie watoto ndo viwango vyetu ivo, tena kitaa changu ukiwa na salary ya 600k, unaitwa boss kabisa, na unaheshimika ile mbaya! 😂 😂 😂 😂tulia mtoto mdogo (in TID voice)
Kama una qualifications, na nafasi inapatikana, ni vyema tu. Jitahidi.Natafuta kazi yenye take home kuanzia laki sita kwenda juu
Ndio wapoKuna mwalimu wa sekondari anae pokea hiyo pesa kweli?
Dogo kausha basi mi mwenyewe jobless ila JF ili maisha yaende inabidi tujidai matarijiri ila sina ramani kama una dili lolote we chekecha nipate hata ya bundleNi sawa mkuu, ukiwa naa kipato lazima uitwe mzee, ila sie watoto ndo viwango vyetu ivo, tena kitaa changu ukiwa na salary ya 600k, unaitwa boss kabisa, na unaheshimika ile mbaya! 😂 😂 😂 😂
Umemalizaa mkuu yani usishangae kabisaa anaepokea mil 3 anakukopa wew wa laki 7.Matumizi huendana na kile mtu unachoingiza. Kuna anepata laki na inamtosha kwa kuwa anafanya matumizi kuendana na kipato chake, hapo hapo kuna anaeingiza 10 million na bado ana struggle kwakuwa huyu matumizi yake hayawezi kulingana na yule wa laki moja.
So hiyo inategemea zaidi mtu na mtu. Mimj nafanya kazi na watu wanapokea 3+ million ambao ni seniors wangu kazini na wananizidi mara mbili na zaidi ya mshahara ila utashangaa anakupiga kizinga.
dogo kausha basi mi mwenyewe jobless ila jf ili maisha yaende inabidi tujidai matarijiri ila sina ramani kama
😂😂😂😂😂dogo kausha basi mi mwenyewe jobless ila jf ili maisha yaende inabidi tujidai matarijiri ila sina ramani kama una dili lolote we chekecha nipate hata ya bundle
Ndio ipo hivyo. Mimi ninapofanya kazi kuna contractors ambao wanalipwa chini ya laki 5 kwa mwezi na sisi kampuni yetu mwenye kima cha chini ni 1.2million lakini wengi wa waajiriwa wa hii kampuni wanazidiwa maendeleo na hao wanaofanya kwa contractors huwa wanawakopa hao contractors.Umemalizaa mkuu yani usishangae kabisaa anaepokea mil 3 anakukopa wew wa laki 7.
[emoji23]mwamba hauzibagi ufa kazi yako kujenga ukuta.. NAKUBALI[emoji3577]Mimi Sina mshahara lakin mwezi unakatika bila stress apo niulize nafanya fanyaje? Mimi kazi yangu nikusolve problems tu. Yaan sisovu tatizo ambalo halijafika never nasolve lililo mbele yangu mpaka wife anacheka tu.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kama unajua hata kibogoyo huwa anakula nyama huwezi kuuliza hilo swali.Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakuwa nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Kuishi kulingana na ulicho nachoMimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakuwa nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.