Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Kuna dhana potofu inayojengwa kuwa kwa sababu Mbowe ameamua kushiriki uchaguzi kwa kugombea uenyekiti wa Taifa Chadema lazima atashinda na kwamba CCM watapata urahisi wa kushinda uchaguzi mkuu mwakani 2025! Eti Mbowe ni laini kwenye meza ya majadiliano!
Kwamba Lissu angeachiwa ashinde uenyekiti wa Taifa Chadema ili aweze kukabiliana na CCM katika uchaguzi mkuu ujao. Eti kwa kuwa Lissu ni Mwanaharakati ana nafasi kubwa ya kukabiliana na CCM katika meza ya majadiliano!
Tuambiane ukweli ni lini CCM wameshinda uchaguzi ulio huru na wa haki? Kumbukumbu zinaonyesha CCM wamekuwa wakipora chaguzi zote kwa kuiba kura na kutangaza kura tofauti na zilivyokuwa katika masanduku ya kura! Mpaka leo Tume ya Uchaguzi imeshindwa kutangaza Magufuli alipata kura ngapi na Lissu alipata kura ngapi katika uchaguzi wa mwaka 2020!
Kwa hiyo CCM inapora ushindi na kamwe haijawahi kushinda katika uchaguzi huru na haki!