Mnaosema CCM wataendelea kushinda chaguzi kwa sababu ya Mbowe, ni lini uchaguzi huru umefanyika Tanzania

Mnaosema CCM wataendelea kushinda chaguzi kwa sababu ya Mbowe, ni lini uchaguzi huru umefanyika Tanzania

Kwahiyo unadhani ni wewe tu humu umeshiriki kama msimamizi wa uchaguzi? Mwaka 2020 nilikuwa Msimamizi Mkuu wa Kituo na mawakala wote wa CCM na, Chadema n avyamo vingine
Mimi ni CCM na tulijipanga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tukashinda kwa kishindo na sasa tunajiandaa na Uchaguzi Mkuu wa 2025. Utatusikia!
Wewe ulikuwa msimamizi + Wewe ni CCM= Mwizi wa kura!
 
Kila uchaguzi mkuu ukifanyika vyama vya upinzani vinadai Tume huru ya uchaguzi kwa sababu Tume iliyopo inakuwa imechafua matokeo kwa kuwatangaza wana CCM walioshindwa kuwa ndiyo washindi!
🤣🤣🤣🤣
 
Wewe ni wakala wa shetani na mhujumu wa demokrasia Tanzania!
Nyie vijana ndio mnaamini mnaweza ongoza nchi hii kwa kushindwa kujenga na kutishia kutukana tu. Bila shaka ndio maana mnamuunga mkono mtukanaji mwenzenu Lissu!!! Tukaneni lakini nchi hii HAMUIONGOZI KAMWE! Nimekaa pale!
 
Amekiri mwenyewe kuwa alikuwa msimamizi wa uchaguzi na pia ni mwana CCM, unategemea nini kutoka kwake?

Wizi wa kura!
Chadema wanaweza kuwa wanafanyiwa figisu za hapa na pale but hiyo haithibitishi huwa wanashinda uchaguzi, kushinda Ni Jambo lingine CCM kimetawala maeneo mengi ya nchi na pia Ni chama chenye wanachama wengi kuliko chama chochote ndio maana tunawashauri vyama vyote Upinzani viungane kwasababu tunajua Chadema Kama Chadema chenyewe akiwezi kushinda. ukienda Kuna mikoa hawajui vyama vya upinzani mfano bukoba, Tabora,Simiyu,Dodoma uko uwaambii kitu kuhusu CCM.
 
Utakuwa mtoto wa juzi! Bukoba miaka kadhaa ilikuwa na mbunge wa upinzani! Tabora na Simiyu upinzani ni moto moto mpaka UDP ilikuwa na madiwani na wabunge kadhaa! Dodoma si haba madiwani wa upinzani walikuwa wengi wa kutosha.

Shetani Magufuli aliamua kuchafua nchi na chaguzi zote!
 
Sio suala la juzi Mimi nimekaa maeneo hayo najua vizuri hiyo mikoa CCM inakubalika mno na wanafaidika kwasababu wamejichimbia mizizi kwa kipindi kirefu mkuu usinibishie labda Kama unataka uingize ushabiki
 
Back
Top Bottom