Mnaosema kuwa hakuna mchawi anayeweza kuiba Bank mnajidanganya

Mimi nataka mchawi ambaye ataweza kunibadili jinsia, au kunisaidia kila ninapoomba visa ya nchi yoyote ile ninayotaka kuenda nikubaliwe tu hata kama sina documents za kueleweka, yani hapo ndio nitauamini uchawi
 
Naomba mawasiliano yake
Hivi unavyosema Bank kichwani inakujia bank gani?
Je, bank zote zindiko lao ni moja?
Je, hakuna nguvu inayopita nguvu nyingine?
Ikitokea mtu au mchawi ana nguvu kuzidi nguvu ya zindiko la nyumba yako , biashara au bank yako basi jua kuwa anaweza kukuburuza atakavyo.

Mzee wangu anaweza kuingia hata WB na kuchota mkwanja kisha kusepa. Tena haingii yeye bali anamtuma jini anakwenda kuvunja hata ma stiff safe na kuchukua pesa.
Sema yule mzee ni wale wa zamani wanaoridhika na kidogo walichonacho.
Huyu mzee ni mwaka wa 14 sasa hatujaonana, tulitofautiana baada ya Mimi na wadogo zangu 2 kuhamia Imani nyingine.

Yupo Lindi Liwale, anayebisha aende aulize sheikh ambaye watoto wake wamesilimu atapelekwa.
Huyu mzee mpaka kutembea juu ya maji mengi bila kuzama anaweza.
 
Mkuu sheikh ambaye watoto wake wameslim hapo umeniacha njia panda maana sheikh kawaida inategemewa watoto wake wawe waislam
 
Saw
Hivi unavyosema Bank kichwani inakujia bank gani?
Je, bank zote zindiko lao ni moja?
Je, hakuna nguvu inayopita nguvu nyingine?
Ikitokea mtu au mchawi ana nguvu kuzidi nguvu ya zindiko la nyumba yako , biashara au bank yako basi jua kuwa anaweza kukuburuza atakavyo.

Mzee wangu anaweza kuingia hata WB na kuchota mkwanja kisha kusepa. Tena haingii yeye bali anamtuma jini anakwenda kuvunja hata ma stiff safe na kuchukua pesa.
Sema yule mzee ni wale wa zamani wanaoridhika na kidogo walichonacho.
Huyu mzee ni mwaka wa 14 sasa hatujaonana, tulitofautiana baada ya Mimi na wadogo zangu 2 kuhamia Imani nyingine.

Yupo Lindi Liwale, anayebisha aende aulize sheikh ambaye watoto wake wamesilimu atapelekwa.
Huyu mzee mpaka kutembea juu ya maji mengi bila kuzama anaweza.
Sawa mkuu! Eti kutoja liwale hadi World Bank! Mkuu sasa nadhani dish limecheza!
 
Msomi peke ninaemwelewa ni nyerere tu ambae kachapisha vitabu kadhaa,sisi wasomi wa leo graduate hata kitabu cha kurasa kumi kutungua hatuwezi!

Lakini huyo nyerere yeye alifanyiwa zindiko la nchi HII itulie na huo Mwenge ukaibuka HADI leo!Na USOMI wake wote wa seminarini alikubali FIKA kua hawezi ku aply usomi kwenye mambo yasiyohitaji usomi!!!!

Tafuta wazee wakuambie,tusijifanye wasomi wa mchongo!!!!

Uchawi imeandikwa HADI kwenye vitabu tunavyoamini ndio uje ubishe KWAmba haupo!!?
Uko wapi uchawi? Naomba uniroge au utafute wa kuniroga kisha nimlipe pesa
 
Hivi unavyosema Bank kichwani inakujia bank gani?
Je, bank zote zindiko lao ni moja?
Je, hakuna nguvu inayopita nguvu nyingine?
Ikitokea mtu au mchawi ana nguvu kuzidi nguvu ya zindiko la nyumba yako , biashara au bank yako basi jua kuwa anaweza kukuburuza atakavyo.

Mzee wangu anaweza kuingia hata WB na kuchota mkwanja kisha kusepa. Tena haingii yeye bali anamtuma jini anakwenda kuvunja hata ma stiff safe na kuchukua pesa.
Sema yule mzee ni wale wa zamani wanaoridhika na kidogo walichonacho.
Huyu mzee ni mwaka wa 14 sasa hatujaonana, tulitofautiana baada ya Mimi na wadogo zangu 2 kuhamia Imani nyingine.

Yupo Lindi Liwale, anayebisha aende aulize sheikh ambaye watoto wake wamesilimu atapelekwa.
Huyu mzee mpaka kutembea juu ya maji mengi bila kuzama anaweza.
Sheikh ambaye watoto wake wamesilimu!! Kivipi?
 
...Kuna Watu Watapigwa Kwa Tangazo hili la Biashara ![emoji1][emoji1]
 
Wachawi wengi wanaweza kuwa matajiri kama wakitaka!unadhani kwanini wachawi wengi ni masikini sana?Masharti yake ni magumu saaana hata wenyewe wanahanya
 
Unadhani WB ni kama banki zenu za biashara Zina maself na wamejaza pesa mle?
 
Mchawi gani anayeweza kuiba benki, wangeweza kuiba haya mabenki yangefilisika
Amini kwamba wapo wanao weza kuiba tatizo lako wewe ni bishi tu huna uhakika unachobishia, wanaiba kwa vijicent cent, unaweka benk milioni moja unakuta laki 9 na elfu tisini na 6 mia tisa themanini... iyo remaining iko wapi na makato yote ushahakiki, unailamu benki ina makato makubwa benki nao wanakuambia hawana.

Jiulize watu wanatembelea mkoko wa milioni 50 au 30 wengi tu unaamini uhalali wa pesa zao kwa % ngapi. Ikiwa wewe milioni kumi tu kuipata ni ndoto, majumba ya kifahari.
 
Back
Top Bottom