Mnaosifia kupata mke mzuri ni kwa Wahehe na Wabena, hivi mmezunguka Nchi hii? Mabinti wanyaturu, wanyiramba, wambulu (wairaqw) na warangi mnawajua?

Mnaosifia kupata mke mzuri ni kwa Wahehe na Wabena, hivi mmezunguka Nchi hii? Mabinti wanyaturu, wanyiramba, wambulu (wairaqw) na warangi mnawajua?

Sio kwamba wanakosekana ila kuna maeneo ukienda ratio ndo kubwa zaidi........Dodoma nimekaa warangi wanaliwa kiboya sana hadi wake za watu,, ukifika chuga ukitaka kiburudisho cha fasta lazima udondokee kwa mmbulu au mnyaturu
Sasa mimi nimewala hao wachaga tena mama na mwanae....tatizo hao ni wazuri kiasi kwamba kila mwanaume anawataka
 
Mimi au huyo ndie chanzo ? Mimi nimezinguka sehemu kubwa mno ya hii nchi hakuna kabila ambalo utakosa malaya
Ni kweli hata wazarama kuna wakimya, wachaga wapo wasiojua biashara, wahaya wapo ambao hawajui kusoma, wamasai waoga, wasukumba wavivu, ..... lakini swali ni kwa asilimia ngapi ?
 
Back
Top Bottom