Mnaotaka kufanya kazi na wanaojiita Nickshine Media Production kuweni makini sana

tena mtaani mtu akisikia una ndoa anatetemeka asijekuvurugia mambo.

hawa wa laki 7 hawa,inaonekana hawababaiki na kima.
Sasa mtu kama speshoz kwa week 1 anaweza pata order hata ya suti 10.

Bado hajawashonea wcb, yanga.

Wewe ngumbaru huna faida kwake hata asipokushonea.
 
Duh kumbe hata speshoz msumbufu [emoji1381]‍[emoji3601]
Dogo msumbufu sana kama wewe sio famous kama kina diamond au sio rafiki ake.

Hata hizo nguo hashoni yeye, anaweka mafundi na nyingine anapeleka mitaani kwa mafundi wengine.
 
Hahaaa Umenikumbusha mbali sana mambo ya tax wajinga walikua na bei za ajabu sana
 
Code za lugha yako inakukamatisha vizuri.

Endelea kufunguka

Najikamatisha nini, ata akijijua mm sina shida na vizuri akajijua ili anadilike we unadhani namwogopa, kwanza nilivyokoment mwanzo nilimtaja nikaamua kumfuta kwa sababu tu hii thread haikua yangu na wala sikua na nia ya kumwanika bali kuchangia uhalisia niliokumbana nao katika huduma hizi ili na wengine wawe makini, yeye mwenyewe anajua ni jinsi gani alitukosea na ushahidi upo kwa iyo siogopi chochote ata akijulikana.
 
Code za lugha yako inakukamatisha vizuri.

Endelea kufunguka

Na ndio maana nilipost screensot ya chats zangu na yeye na hata kabla sijapost nilijua fika akiziona atafahamu kabisa ni yeye na ajue ninkwa jinsi gani alitukwaza, mimi napenda ajifahamu kabisa na ajue hadi leo kila tunapikumbuka shughuli yetu hatuachi kumlaani kwa kitendo alichotufanyia.
 
Hela yangu ingerudi yote.
Ningemchukua ndugu yangu mmoja.
tungewapigisha push up za kutosha.alafu ningewaambia kesho nakuja kuchukua hela zangu.
USIPENDE KUWA MNYONGE.
tusingewapiga ila cha Moto wangekiona .
Hahaa ina sheria haikuruhsu kufanya hivyo. Ukikutana na mbishi zaidi utaomba pooh, kwanza utafunguliwa shitaka la kuja eneo lake la kazi na kuharibu mali, kumdhalilisha, kuvunja na kuiba, hapo atataja kiasi chochote cha hela kilichopotea siku hiyo baada ya ww kuja, lakin pia atataja vifaa vya kazi kuvunjwa na vingine kuchukuliwa na wewe.

Hapo ndio utajua hujui
 
Hahaaa Umenikumbusha mbali sana mambo ya tax wajinga walikua na bei za ajabu sana
Hawa jamaa wa Tax miaka ya 2000 kuja hadi 2004 walikuwa ndio kila kitu na Icon ya jamii, mwendesha Tax mtaani anawavimbia anawaona nyie lofa tu, muda wote suruali zile za kitambaa zimepigwa pasi balaa, anakula mademu wakali tu na wanafunzi wa private schools,
Hatoi lift kwenye gar lake hata kama akukute njian na ww unaenda mtaa anao elekea kisa usichafue gari.

Gheto zao zina vitambaa vimetandikwa kwenye kochi na mezani.

Yote kwa yote: Walikuwa wanapata hela nyingi kuliko boss mwenye Tax mwenyewe ila kazi kubwa ya hizo hela ni starehe.

Mfano, brother yangu miaka hiyo alikuwa na Tax aina ya Corolla, alimpa dereva mmoja anaitwa Omary kwa shart la kuleta elf 10 kwa siku, ila kwa maelezo yake alikuwa siku kakosa hela ana lala na elf 70.
 
Yaani ulipokua unakwrnda kulipa hapo ofisini ulikua unakuta watu wanalalamika kufanyiwa kazi isivyona still ukaendelea kulipa?,hii kitu mbona haiingii akilini?,pili husemi walichofanya kibaya unakomea kusemq walikuharibia siku sio kua hawa ni washindani wako unajaribu kuwabomoa huku kwa lenngo la kumdhoofisha mshindani wako?
 
Toa ujinga hapa
 
Mh hatari Sana,, Kuna shughuli muhimu itakuwa mwanza mwezi ujao nilikuwa nawaza kutafuta mtu wa picha ambae Ni maarufu kumbe ningebugi, sijui nitafanyaje kwa hali hii jamani😪
INGIA MKATABA...LIPA HELA 40% INAYOBAKI ULIPE KAZI ITAKAPOKUWA TAYARI NA UMEIONA UKAJIRIDHISHA NDIO ULIPE... OTHERWISE UKIJIFANYA UMELIPA YOTE UMEUMIA...
 
Kimjini mjini mambo mengi huenda kwa connection mimi mara nyingi vitu vyote ktk maisha yangu hushirikisha wale ambao nahisi wameshafanya,na huwaomba wanipe wale waliowafanyia kisha nakaa nao chini kuwaambia ongeza hiki au punguza hiki.

Mtu yeyote atakaeipita ktk uzi huu ushauri nakupa:mambo ya muhimu sana ktk maisha penda kuwashirikisha watu maana hakuna jambo jipya utalifanya ambalo hakuna aliyewahi kufanya chuja ktk wale utakaombiwa tafuta mmoja na mwambie kabisa nimeelekezwa na mteja wako uliwahi kumfanyia kazi yake sehemu fulani huyu ni vigumu kukuharibia maana atajua kumbe kupitia ubora wa kazi zangu ndiko nakopatia wateja so atajitahidi kukufurahisha ili na wewe kesho umletee mteja.

Usijaribu kuwa hero utajuta!
 
Yaani hela yangu na kesi unifungulie?
Hao mbona wangerudisha zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…