Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Asante sana+255 756 143 998
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana+255 756 143 998
Ukienda kwa mafundi wa instagram utaambiwa 700k.Mi nilishona kwa 70k tu
Sasa mtu kama speshoz kwa week 1 anaweza pata order hata ya suti 10.tena mtaani mtu akisikia una ndoa anatetemeka asijekuvurugia mambo.
hawa wa laki 7 hawa,inaonekana hawababaiki na kima.
Dogo msumbufu sana kama wewe sio famous kama kina diamond au sio rafiki ake.Duh kumbe hata speshoz msumbufu [emoji1381][emoji3601]
Ukimaliza kusoma jitahidi uelewe na ulicho kisomaHizi Screenshots tunaweza kuprove kwamba ulikuwa unatuma kwa Nicki? Hata kublue Tick haijatick, namba ya Nicki akisoma inablue Tick.
Hahaaa Umenikumbusha mbali sana mambo ya tax wajinga walikua na bei za ajabu sanakila jambo litapita,wawaulize madreva tax maisha waliyoishi kabla ya uber,bolt na taxfy.
unamuita mtu airport posta anaropoka tu bei,lete 80 kisa umeshuka kwenye ndege[emoji1787],beseni lilipokuja kupinduka watu wanalipa 3500 ndio akili zikawakaa sawa.
kwa mimi ninavyojua,kazi kama ile nawewe unakuwa sehemu ya sherehe,ukizingua tayari umeharibu furaha muhimu ya mwenzako.
tuchukulie mfano ma MC namna wanavyolipwa na kuja kuamsha sherehe ya mhusika,ndio kitu tunachotaka.
Code za lugha yako inakukamatisha vizuri.
Endelea kufunguka
Code za lugha yako inakukamatisha vizuri.
Endelea kufunguka
Hahaa ina sheria haikuruhsu kufanya hivyo. Ukikutana na mbishi zaidi utaomba pooh, kwanza utafunguliwa shitaka la kuja eneo lake la kazi na kuharibu mali, kumdhalilisha, kuvunja na kuiba, hapo atataja kiasi chochote cha hela kilichopotea siku hiyo baada ya ww kuja, lakin pia atataja vifaa vya kazi kuvunjwa na vingine kuchukuliwa na wewe.Hela yangu ingerudi yote.
Ningemchukua ndugu yangu mmoja.
tungewapigisha push up za kutosha.alafu ningewaambia kesho nakuja kuchukua hela zangu.
USIPENDE KUWA MNYONGE.
tusingewapiga ila cha Moto wangekiona .
Ndo uwezo wako wa kufiikiri umeishia hapo?Wao wameandika taarabu. Wewe umeandika usssssenge
Hawa jamaa wa Tax miaka ya 2000 kuja hadi 2004 walikuwa ndio kila kitu na Icon ya jamii, mwendesha Tax mtaani anawavimbia anawaona nyie lofa tu, muda wote suruali zile za kitambaa zimepigwa pasi balaa, anakula mademu wakali tu na wanafunzi wa private schools,Hahaaa Umenikumbusha mbali sana mambo ya tax wajinga walikua na bei za ajabu sana
Toa ujinga hapaSo namfahamu NICK, aliwahi kufanya Wedding ya Rafiki yangu mwaka huu hapo Dar es Salaam. ALIFANYA KAZI HIYO KWA UBORA NA UAMINIFU
Nilipoona hii post niliamua kumtafuta sikumpata, lakini rafiki yangu ambaye alifanya naye kazi alimpata na kumuuliza kuhusu Uzi huu ulioweka.
Ndugu, uzi wako una kasoro na viashiria kwamba UNATAKA TU KUMCHAFUA NICK KWA SABABU ZAKO. Kasoro hizo ni;
1. Huelezi Nick kakukosea nini haswa. Uko too general husemi ulichofanywa.
2. Umetanguliza kujihami kwingi kwamba huandiki kwa nia mbaya, ilinipa hofu kuona kwamba unaweza kuwa na nia mbaya. Umemaliza pia kwa kusema utaletewa povu, why uletewe povu kweny jambo hilo?
Nicki amejieleza na kuomba wanajamvi wapime mambo yafuatayo:
1. Yeye sio biashara ya mtandaoni ambayo mtu anaweza kupata tabu kuifahamu. YEYE NI KAMPUNI, INA OFISI ZAKE ZIKO SINZA. Hivyo kama kweli una malalamiko kwake, ni rahisi kabisa kumkamata na kufungua kesi. So fara Ofisni kwake hakuna malalamiko ya hivyo unavyosema kwamba eti unashindwa kumpeleka mahakamani.
2. Nicki anahusisaha suala hili na vita za kibiashara kwa sababu YEYE ANAJITANGAZA SANA NA KUTOA HUDUMA KWA BEI NAFUU jambo ambalo washindani wake kwenye biashara linawakera sana. Mnaungana kumpiga vita.
3. Nicki amehusisha hili na TUZO, mnajua wenyewe mambo yenu ya tuzo ambazo mwaka jana Nicki alishinda. Mwaka huu tena yuko Nominated, hivyo kuelekea tuzo hizo mmeanza kuwekeana fitna.
MSICHAFUANE, MWENYE MALALAMIKO YA KWELI TUAMBIE ULIFANYWA NINI, NICKI YUPO OFISNI KWAKE TUELEZE KWA NINI HUJAMKAMATA?
Uzi wako una dalili zote za chuki za kibiashara, umekosa mashiko na ukweli wa hoja. ACHA.
anaemlalamikia nik na huyu ni watu tofauti.Hizi Screenshots tunaweza kuprove kwamba ulikuwa unatuma kwa Nicki? Hata kublue Tick haijatick, namba ya Nicki akisoma inablue Tick.
INGIA MKATABA...LIPA HELA 40% INAYOBAKI ULIPE KAZI ITAKAPOKUWA TAYARI NA UMEIONA UKAJIRIDHISHA NDIO ULIPE... OTHERWISE UKIJIFANYA UMELIPA YOTE UMEUMIA...Mh hatari Sana,, Kuna shughuli muhimu itakuwa mwanza mwezi ujao nilikuwa nawaza kutafuta mtu wa picha ambae Ni maarufu kumbe ningebugi, sijui nitafanyaje kwa hali hii jamani😪
Yaani hela yangu na kesi unifungulie?Hahaa ina sheria haikuruhsu kufanya hivyo. Ukikutana na mbishi zaidi utaomba pooh, kwanza utafunguliwa shitaka la kuja eneo lake la kazi na kuharibu mali, kumdhalilisha, kuvunja na kuiba, hapo atataja kiasi chochote cha hela kilichopotea siku hiyo baada ya ww kuja, lakin pia atataja vifaa vya kazi kuvunjwa na vingine kuchukuliwa na wewe.
Hapo ndio utajua hujui
Certified idiotWala sijafikiri. Unadhani kujibu pimba yako kulihitaji kufikiri basi? Kufikiri jibu la ile pumba ni kutumia vibaya akili
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]Mambo vipi Nicki
Shukrani Sana mkuuINGIA MKATABA...LIPA HELA 40% INAYOBAKI ULIPE KAZI ITAKAPOKUWA TAYARI NA UMEIONA UKAJIRIDHISHA NDIO ULIPE... OTHERWISE UKIJIFANYA UMELIPA YOTE UMEUMIA...