Mnaotaka kuingia USA pitieni BAHAMAS πŸ‡§πŸ‡Έ

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Hapa tunaongea kwa wazamiaji, mabaharia na watafutaji wagumu ani sio mtoto wa mama.

Process za kutoka bongo direct to USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ ni ngumu isitoshe inavigezo pia ni expensive, Sasa chakufanya wew kama Una dollar 2500 inatosha kabisa kwenda USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ

Nenda Bahamas coz ni free visa entry, ni wewe na passport yako tu mkononi kama unavyoenda Kenya na Burundi tu hawama mambo mengi sijui wakuhoji nn amna

The distance in mile from Bahamas mpaka Miami Florida kwa upande wa marekani ni almost mile 25 tu ni kama dar to chalinze.

Pale Bahamas utawakuta wajuba kutoka Mexico Wana boti zao unatoa kama dollar 500 ivi wanakuvusha kwa boti kimagendo lakini, ukifika tu pale mwambaoni wanawamwageni afu nyie mnakimbilia lami barabarani tayari uko ndani ya USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ.

MIMI broo wangu mwezi ulopita katumia iyo njia saizi yupo zake NEW YORK CITY anakula maisha.

N. B. more is lost by indecision than by wrong decisions.
 
Kuingia Ni simple sana wengi walikuwa ila Wengi wakaishia Kuwa Homeless..

Kwa sababu ya kutokuwa Na Mipango..
 
Nchi za wenzetu ambao ni visa free lazima wajue una kiasi gan kwenye account Cha ku spend ndan ya nchi Yao so it is possible but it is not easy
Then lazima ukate ticket ya kwenda na kurudi so it is expensive as well
Heb chukulia mfano wa Singapore ni free visa for tanzanian passport holder but you must have at least 1500$ in your account during your entry at the airport
Wacha mabo za round flight tickets ( go& return)

Play your cards well
 

Ni ww tu utakavyojiamn, Kuna watu walitoka hawana Ata pesa Ila walifika na wametoboa
 
Unatoa mawazo ya kuingia USA huku umeegemea mgomba kijijini...ni bora kutafuta maisha popote pale kuliko kuingia kwa hao jamaa na vibali vya kazi vikiwa haviko sawa itakuchukua muda mrefu kidogo kukaa sawa na ukiwa hauna vibali utafanya kazi za hovyo hovyo ili uweze kulipa kodi na lishe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…