Mwiba1
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,122
- 2,445
Kwahiyo wewe unataka waende vp USA zaidi ya kuzamia? Maana hawa diaspora 98% ni wazamiaji..habari ya karatasi utaijua ukiwa kiwanjaTatizo vijana mnajazana ujinga sana huko ughaibuni bila makaratasi siyo rahisi kutoboa utaishia kufanya kazi za chini ya meza, na hata hayo makaratasi kuyapata siyo rahisi kama mnavyodanganyana lazima usote kwanza na ukiingia kichwa kichwa deportation inakuhusu, tatizo watu wakiambiwa ukweli wanadai wanakatishwa tamaa mara sijui we mtoto wa mama hujui kitu yani ujuaji tu utafikiri wao ndio kwanza kuwa na hiyo mipango ya kufika huko