Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Double taxation spotted🤔Twafwa
Milioni 43.2 Kwa Milioni 38..DuhKwenye tembea tembea zangu mitandaoni nimekutana na kikotozi cha TRA kinachotumiwa kwenye uingizaji wa bidhaa hapa nchini, kwakweli kinatia kichefchef na kukatisha tamaa jioneeni wenyewe nisiseme sanaa.
View attachment 2474370
Nmeona hiyo[emoji26]Double taxation spotted[emoji848]
It’s not supposed to work that way.Yaan kwa tafsiri hii
[emoji117]mzigo ukifika TU bandarini unapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia K'koo,wholesaler anapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia mtaani,retailer anapigwa V.A.T
Yaan nchi hii, Mungu atunusuru[emoji26]
Sawa msomiCheki sasa watanzania mtu unawapa elimu ya bure ata Shukran hawana.
Halafu kesho wanatandikwa.
Ama kweli kuna watu awabebeki
Haya goodluck if you think VAT is supposed to be carried over without being claimed.
Tatizo lenu kubwa ni ignorance
[emoji112]
Umeongea mengi ila hujatusaidia! Jaribu kuwa problem solver siyo problem creatorHuo Utopolo wa taarifa aukusaidii kitu chochote mlipa kodi, unachotakiwa kujua ni ‘Finance Act’ ya mwaka gani wanatumia
Kodi ni sheria sio maamuzi ya TRA. Muhimu ni kuilewa sheria husika TRA wanayotumia kutoza hizo kodi wao ni administrators tu wa kukusanya kodi kupitia sheria husika.
Sio mara zote administrators wa sheria wanakuwa sahihi, kwanini TRA wanapata shida kuelezea sheria husika, matters of fact ukijua sheria husika ata hesabu za kodi unazopigiwa unaweza challenge.
Hilo jambo sio sahihi kwa mlipa kodi, jukumu la TRA nikutoa elimu ya kodi pia.
Ukizingatia wao sio wanaoamua viwango vya kodi, bali waziri wa fedha ni vyema walipa kodi watambue hizo sheria kujiridhisha what the law intended.
Tangazo la ovyo mno ambalo halina sheria, basically you are at their mercy,
inamaana mzigo ukifika bandarini unapigwa VAT, Ukiingia kkoo whole saler anapigwa VAT kwenye faida yake tu nyingine anaweza kuiclaim, na mzigo Ukiingia mtaani retailer naye anapigwa VAT kwenye faida yake tu... nyingine anaweza pia kuiclaimYaan kwa tafsiri hii
mzigo ukifika TU bandarini unapigwa V.A.T
Mzigo ukiingia K'koo,wholesaler anapigwa V.A.T
Mzigo ukiingia mtaani,retailer anapigwa V.A.T
Yaan nchi hii, Mungu atunusuru