Ni bora ungesahihisha hayo mapungufu na kutoa huo muongozo unaosema..kuliko kumlalamikia mleta mada bila sababu.Infact sababu ya kuleta humu ni kwa ajili ya watu kama nyie mnaojua mtoe ufafanuziHuo Utopolo wa taarifa aukusaidii kitu chochote mlipa kodi, unachotakiwa kujua ni ‘Finance Act’ ya mwaka gani wanatumia
Kodi ni sheria sio maamuzi ya TRA. Muhimu ni kuilewa sheria husika TRA wanayotumia kutoza hizo kodi wao ni administrators tu wa kukusanya kodi kupitia sheria husika.
Sio mara zote administrators wa sheria wanakuwa sahihi, kwanini TRA wanapata shida kuelezea sheria husika, matters of fact ukijua sheria husika ata hesabu za kodi unazopigiwa unaweza challenge.
Hilo jambo sio sahihi kwa mlipa kodi, jukumu la TRA nikutoa elimu ya kodi pia.
Ukizingatia wao sio wanaoamua viwango vya kodi, bali waziri wa fedha ni vyema walipa kodi watambue hizo sheria kujiridhisha what the law intended.
Tangazo la ovyo mno ambalo halina sheria, basically you are at their mercy,
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app