Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Wapo huku TRA Tanzania wanaweza kutolea maelezo hapa sio lazima tupige simu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni roho ya kwanini🤣 hilo tu ndio limefanya mpaka leo miaka 60 ya uhuru ila still maji na umeme ni vitu vya mashaka.Nadhani nchi nyingi zinazotuzunguka kuingiza magari kwao ushuru siyo Issue kabisa
Tanzania Sijui shida ni nini Jamani
Challenge acceptedNina uhakika wewe hujui KODI a wala huna uelewa kwenye UHASIBU. Nina uhakika na kama utabisha nipe room hapa hapa nikuulize maswali kisha uyatolee majibu kuhusu hata hiyo VAT.
Uwezi kufafanua kodi bila ya sheriaNi bora ungesahihisha hayo mapungufu na kutoa huo muongozo unaosema..kuliko kumlalamikia mleta mada bila sababu.Infact sababu ya kuleta humu ni kwa ajili ya watu kama nyie mnaojua mtoe ufafanuzi
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ha haa!Double taxation spotted🤔
Kwenye hiyo scenario, elekeza watu hapa, kwann TRA wamechaji VAT? Je VAT ina effect gani kwa aliyeagiza mzigo huo??Challenge accepted
Mhh..Kwenye tembea tembea zangu mitandaoni nimekutana na kikotozi cha TRA kinachotumiwa kwenye uingizaji wa bidhaa hapa nchini, kwakweli kinatia kichefuchefu na kukatisha tamaa.
Jioneeni wenyewe nisiseme sanaa;
View attachment 2474370
Shida yenu mnadhani wafanyabiashara wengi hawana Elimu na mmesahau kuwa TRA wanatumia Sheria na baadae nguvu na kitengo cha nguvu kilikuwepo...Cheki sasa watanzania mtu unawapa elimu ya bure hata Shukran hawana.
Halafu kesho wanatandikwa.
Ama kweli kuna watu awabebeki
Haya goodluck if you think VAT is supposed to be carried over without being claimed.
Tatizo lenu kubwa ni ignorance
👋
Tumeisha aiseeKwenye tembea tembea zangu mitandaoni nimekutana na kikotozi cha TRA kinachotumiwa kwenye uingizaji wa bidhaa hapa nchini, kwakweli kinatia kichefuchefu na kukatisha tamaa.
Jioneeni wenyewe nisiseme sanaa;
View attachment 2474370
Kwenye kichwa chako hilo ndio swali la gumu kweli. Mie nikajua labda na treatment za capital allowances, taxation za group accounts ambazo kampuni moja ina miliki hisa kampuni nyingine kodi zinadaiwa vipi unakuja na kaswali uchwara kama hako.Kwenye hiyo scenario, elekeza watu hapa, kwann TRA wamechaji VAT? Je VAT ina effect gani kwa aliyeagiza mzigo huo??
Huyu ndo aloelezea vzr kabisa kuhusu hii issue.Umeongea mengi ila hujatusaidia! Jaribu kuwa problem solver siyo problem creator
Nguvu zina muda wake ata hilo pia inabidi upitie Tax administration Act. Ni sheria hiyo wanatumia kwenye ufanyaji wao kazi.Shida yenu mnadhani wafanyabiashara wengi hawana Elimu na mmesahau kuwa TRA wanatumia Sheria na baadae nguvu na kitengo cha nguvu kilikuwepo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana nikakupa simple qn, maana ubongo wako hauko sawa.Kwenye kichwa chako hilo ndio swali la gumu kweli. Mie nikajua labda na treatment za capital allowances, taxation za group accounts ambazo kampuni moja ina miliki hisa kampuni nyingine kodi zinadaiwa vipi unakuja na kaswali uchwara kama hako.
VAT aina impact kwa mfanyabiashara ni Lodi anayolipa mlaji wa mwisho.
Swali kwako je mimi kama supplier na wewe trader VAT tunaitreat vipi?
Don’t waste people’s time na maswali ambayo kila mtu majibu anajua. Ukitaka kuongea maswala ya uhasibu njoo na vitu serious kama capital structure theories, portfolio management, managing currency risk and so forth. Lakini maswali kuulizana vitu vya kitoto
Hii convo hainihusu ila ngoja niseme kitu kwa faida ya wengi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana nikakupa simple qn, maana ubongo wako hauko sawa.
Sas kama haina effect kwa mfanyabiashara wewe unawezaje kuwaita watu humu hawana elimu?
Inaonesha msingi wa VAT hata huujui.
Sasa mtu analalamika kulipa VAT wakati yeye mfanyabiashara, inaingia akilini kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana nikakupa simple qn, maana ubongo wako hauko sawa.
Sas kama haina effect kwa mfanyabiashara wewe unawezaje kuwaita watu humu hawana elimu?
Inaonesha msingi wa VAT hata huujui.