FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tuwalaumu wabunge wetu kwa kutunga sheria za hovyo. Lakini kabla ya kuwalaumu tukumbuke kwa mujibu wa katiba, kigezo cha mtu kuwa mbunge ni kujua tu kusoma na kuandika. Mtu wa darasa la saba au kidato cha nne atawezaje kuchambua muswada wa sheria uliopelekwa bungeni na wataalamu? Mwisho kabisa tujilaumu sisi wananchi kwa kuchagua wabunge wa hovyo kisa tu alikuwa akimwaga takrima wakati wa uchaguzi.
Napendekeza bidhaa zipigwe kodi mara moja tu, njia ni hii
========================== UPDATE: 27/06/2024 https://www.instagram.com/reel/C8tOKmmqjWh/?igsh=MWJhZWFjNTNhajNtcg ======================= TRA Tanzania Tanzania tuna mfumo wa kodi ambao naweza kuuita ni 'Tax chain system'. Yaani ni kwamba bidhaa moja inaweza ikapigwa kodi hata mara kumi...