Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Kwenye kichwa chako hilo ndio swali la gumu kweli. Mie nikajua labda na treatment za capital allowances, taxation za group accounts ambazo kampuni moja ina miliki hisa kampuni nyingine kodi zinadaiwa vipi unakuja na kaswali uchwara kama hako.
VAT aina impact kwa mfanyabiashara ni Lodi anayolipa mlaji wa mwisho.
Swali kwako je mimi kama supplier na wewe trader VAT tunaitreat vipi?
Don’t waste people’s time na maswali ambayo kila mtu majibu anajua. Ukitaka kuongea maswala ya uhasibu njoo na vitu serious kama capital structure theories, portfolio management, managing currency risk and so forth. Lakini maswali kuulizana vitu vya kitoto
Ila una nyodo
Utakua muhaya