inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Utasemaje UAE hakuna Kodi wakati Kodi wasiyotoza ni Kodi ya kipato pekee ambayo Einstein alisema ni kitu kigumu zaidi kukielewaAina za Kodi nazijua babu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasemaje UAE hakuna Kodi wakati Kodi wasiyotoza ni Kodi ya kipato pekee ambayo Einstein alisema ni kitu kigumu zaidi kukielewaAina za Kodi nazijua babu!
So ulivogugo hawajakwambia Vatican ni nini?Vatican iko wapi!?..maana nimetazama ramani ya dunia sijaona nchi ya Vatican
Vatican city ni mji ndani ya Italia ambao umepewa hadhi ya kidiplomasia kiasi Cha kuwa na balozi nchi mbalimbaliSo ulivogugo hawajakwambia Vatican ni nini?
Na bado. Ukishafanya biashara, ukapata ka-faida kidogo, mzazi wako akikuambia umtumie elfu ishirini ya kununua dawa, inakatwa tena tozo.Yaan kwa tafsiri hii
[emoji117]mzigo ukifika TU bandarini unapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia K'koo,wholesaler anapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia mtaani,retailer anapigwa V.A.T
Yaan nchi hii, Mungu atunusuru[emoji26]
Umeme wao una VAT hao wanajisifia kukusanya kodi wakati Nchi haina bidhaa za kutosha wao wanaona sawa tuu...Na bado. Ukishafanya biashara, ukapata ka-faida kidogo, mzazi wako akikuambia umtumie elfu ishirini ya kununua dawa, inakatwa tena tozo.
Huyu jamaa ana mboyoyo nyingi sana ambazo hazina uhalisiaHa ha ha .....
Uko serious kanisa Yaani T.R.A wakucharge V.A.T afu urudi tra kuwadai wakurudishie hiyo vat yako[emoji23]
UNAZUNGUMZIA NCHI HII AU BURUNDI[emoji1787]
Ukute huyu ni new kid in the block pale TRA, anachefua watu tu.Inaumiza kuona mtu anaongelea kitu bila kuwa na uzoefu! Na ni wabishi ajabu
Na yeye akienda kuitoa kwa wakala ,inakatwa tozo tenaNa bado. Ukishafanya biashara, ukapata ka-faida kidogo, mzazi wako akikuambia umtumie elfu ishirini ya kununua dawa, inakatwa tena tozo.
Kuna watu ni wapumbavu sanaSasa faida atapataje?, Yaani nguo cost iwe milioni 43,,
Kodi zote ni milioni zaidi ya 20,,,,
Kwahiyo hadi nguo zikae dukani inakua ametumia karibu milion 80,,
Atauzaje hiyo nguo ili apate faida?
Accept pia digrii yako uchwara unayo micro finance ni ya kukariri.Challenge accepted
Kuna Watu humu wanajua biashara za kwny vitabu, ila mtaan uhalisia Ni tofautKuna watu ni wapumbavu sana
Unajiuliza, hivi Hawa watu wana vichwa au kibebeo cha nywele
Inakera mpaka basi
Ha ha ha....Huyu jamaa ana mboyoyo nyingi sana ambazo hazina uhalisia
Sijui kama amewahi hata kuuza pipi akajua mambo yanavuokwenda
Yaani ukawadai TRA wakurudishie pesa, matercall yake
Hi nchi acha kabisa,Na bado. Ukishafanya biashara, ukapata ka-faida kidogo, mzazi wako akikuambia umtumie elfu ishirini ya kununua dawa, inakatwa tena tozo.
Kabisa.mkuu,Watanzania ni Wazalendo sana kulipa kodi pamoja na kwamba TRA badala ya kuwashukuru walipa kodi wanajipongeza wao kwa kukusanya kodi...Nchi zingine kila mwaka ile VAT wanayoirudisha kwa kununua bidhaa kwao huwa wanapongeza unakutana na barua nzito wanakutafuta wao sio bongo kila mlipa kodi anaonekana jambazi muda mwingine Jeshi linahamia dukani..
Wateja hawalalikii vat ?Hapa ndipo ilipo shida ya elimu yetu ya Tanzania
Wewe unaizungumzia VAT kupitia ulichokisoma darasani na Mimi naizungumzia VAT katika hali halisi ya sokoni na sokoni ndiko unakutana na impact ya VAT kwa wafanyabiashara
Hivi wewe umeshawahi kukutana na mteja wa mwisho anayenunua kiatu dukani Cha kuvaa analalamika kuhusu VAT ?
Na kwa mujibu wa topic zinazofundishwa darasani huyu mteja ndio mlipaji wa hiyo VAT
Kwa upande wapili kwa nini wanaolalamika kuhusu VAT inawaumiza ni wafanyabiashara na sio wateja wa mwisho?
Na je vipi huyu mfanyabiashara ambae ambae ameingiza mzigo sokoni na akakuta labda fashion ya mzigo wake imeisha hivyo itamlazimu auze kwa bei ya hesara ili kuokoa msingi wake lakini pia katika hayo mauzo VAT inamsubiri aikusanye na kupeleka cash TRA
Wewe huoni watu wapo kimya wafanyabiashara wengi wanaangalia na kuumia moyoni tuu nimeona jamaa wa Pombe wao wanalipa 100% sawa pana % ingine ya TBS inafika mpaka 15m kwa 40ft kontena bongo pana kodi balaaa...ndio maana wanauoza bidhaa za ukweli hawawezi kudumu kwa muda mrefu au wakaleta bidhaa za miaka ya karibuni..Kabisa.mkuu,
Suala la vat liko KISHERIA inapaswa mwisho wa mwaka irudishe.
Ila nchi hi huwa hairudi na ukijida kiherehere unaidai, awamu inayofata unakadiriwa Kodi kubwa ili unyooke
Makampuni ya kigeni yanaweza kufanya hivyo sio wazawa na wanakubaliana na Wanasheria kitakachopatikana ana % zake hapo...Ha ha ha....
Yaan nmemuwazia Sana sijamuelewa kabisa, Kama ndo wasomi wetu Basi kazi IPO.
Eti wasipokurudishia ukafungwe kesi mahakamani maana iko KISHERIA[emoji1787]
Hivi ukawafungulie kesi T.R.A utakua unajipenda au hujipendi?[emoji1787]
YAAN HATA UKISHINDA IYO KESI,
ACHANA NA BIASHARA NENDA MKOANI KALIME.
WATAKUANDAMA MPK UTAJUA HUJUI[emoji4]
Kwenye income tax act pana vifungu ukiingi na baadhi ya bidhaa kama ni matumizi yako hutakiwi kulipa kodi ila wao wanalipisha kodi kila wanachokiona kipya labda uvae...viatu wanahesabu hao wahuni ndio ije kuwa TV au nguo watu wanahangaika kutoa kwenye makaratasi ili begi lipite kama nguo za kuvaa daah...Huyu jamaa ana mboyoyo nyingi sana ambazo hazina uhalisia
Sijui kama amewahi hata kuuza pipi akajua mambo yanavuokwenda
Yaani ukawadai TRA wakurudishie pesa, matercall yake
Kwani usipoidai unadhani wanajali. wao wataipeleka kwa Mwigulu tu.Ha ha ha....
Yaan nmemuwazia Sana sijamuelewa kabisa, Kama ndo wasomi wetu Basi kazi IPO.
Eti wasipokurudishia ukafungwe kesi mahakamani maana iko KISHERIA[emoji1787]
Hivi ukawafungulie kesi T.R.A utakua unajipenda au hujipendi?[emoji1787]
YAAN HATA UKISHINDA IYO KESI,
ACHANA NA BIASHARA NENDA MKOANI KALIME.
WATAKUANDAMA MPK UTAJUA HUJUI[emoji4]
Using CIF to calculate import duty na VAT ni utaratibu ambao upo karibu kote duniani.Wewe huoni watu wapo kimya wafanyabiashara wengi wanaangalia na kuumia moyoni tuu nimeona jamaa wa Pombe wao wanalipa 100% sawa pana % ingine ya TBS inafika mpaka 15m kwa 40ft kontena bongo pana kodi balaaa...ndio maana wanauoza bidhaa za ukweli hawawezi kudumu kwa muda mrefu au wakaleta bidhaa za miaka ya karibuni..