Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mtaalamu upo sahihi ila usiseme kote Duniani njoo na % za Zambia wakiagiza mzigo unalipia kiasi gani, Malawi, Botswana, Uganda huo ni mfano tuu ili uone tunavyoumizwa huko SA ndio kabisaa kufanya biashara sio adhabu tatizo lao ni usalama ni zero...Using CIF to calculate import duty na VAT ni utaratibu ambao upo karibu kote duniani.
Ila import duty huwa very low nchi nyingi less than 5 percent, hiyo kodi ya bidhaa ndio sijailewa kabisa na VAT (on importation) kwa wafanyabiashara it shouldn’t be difficult to be treated as differed taxes mpaka wauze kama lengo ni kuchochea biashara.
Hizo kodi za kuagiza vitu sio rafiki kabisa.
Ndio maana unaona magari mazuri yakienda hizo nchi sisi tukibaki kuulizia matatizo ya Passo na IST ukiambiwa Scania Truck kwa Zambia au Malawi kodi imeongezeka ndio imefika sawa na Tsh 9m kwa gharama zote za kodi zao wakati Tanzania hiyo Fusso Tipper kodi inafika 30 milioni Tsh...
TV zipo kwenye kundi la starehe sijui fridge hizi watu wanahangaika na used wakati Sumsung na LG wanashindana kutoa matoleo mapya...
Ni wachache wanatumia mashine za kufuria nguo au za kuosha vyombo kwa sababu hivyo vitu vimetengwa kama sehemu ya anasa kumbe ni vya kawaida tuu ila kuingia kwetu ni mtihani...microwave zenyewe nje ni bei ya kawaida ila Bongo nimewahi ona wanauza bei juu sana hasa kwa hizi digital...vyombo vya ndani sio ishu ila kutokana na kodi kuwa juu navyo tumevitenga..