Mnaotaka kuingiza bidhaa nchini kokotoo la TRA ndio hili

Using CIF to calculate import duty na VAT ni utaratibu ambao upo karibu kote duniani.

Ila import duty huwa very low nchi nyingi less than 5 percent, hiyo kodi ya bidhaa ndio sijailewa kabisa na VAT (on importation) kwa wafanyabiashara it shouldn’t be difficult to be treated as differed taxes mpaka wauze kama lengo ni kuchochea biashara.

Hizo kodi za kuagiza vitu sio rafiki kabisa.
Mtaalamu upo sahihi ila usiseme kote Duniani njoo na % za Zambia wakiagiza mzigo unalipia kiasi gani, Malawi, Botswana, Uganda huo ni mfano tuu ili uone tunavyoumizwa huko SA ndio kabisaa kufanya biashara sio adhabu tatizo lao ni usalama ni zero...
Ndio maana unaona magari mazuri yakienda hizo nchi sisi tukibaki kuulizia matatizo ya Passo na IST ukiambiwa Scania Truck kwa Zambia au Malawi kodi imeongezeka ndio imefika sawa na Tsh 9m kwa gharama zote za kodi zao wakati Tanzania hiyo Fusso Tipper kodi inafika 30 milioni Tsh...
TV zipo kwenye kundi la starehe sijui fridge hizi watu wanahangaika na used wakati Sumsung na LG wanashindana kutoa matoleo mapya...
Ni wachache wanatumia mashine za kufuria nguo au za kuosha vyombo kwa sababu hivyo vitu vimetengwa kama sehemu ya anasa kumbe ni vya kawaida tuu ila kuingia kwetu ni mtihani...microwave zenyewe nje ni bei ya kawaida ila Bongo nimewahi ona wanauza bei juu sana hasa kwa hizi digital...vyombo vya ndani sio ishu ila kutokana na kodi kuwa juu navyo tumevitenga..
 
Yaan kwa tafsiri hii
[emoji117]mzigo ukifika TU bandarini unapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia K'koo,wholesaler anapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia mtaani,retailer anapigwa V.A.T
Yaan nchi hii, Mungu atunusuru[emoji26]
Ndio maana kuna vat refund ila kwa vile hatujui namna ndo maana tunapigwa.
 
Kwani usipoidai unadhani wanajali. wao wataipeleka kwa Mwigulu tu.

Na ukiidai ni haki yako wanakupa, sasa maamuzi ni yako. Kama ni mfanyabiashara kweli usipodai you lose kwa sababu ya bei zako itabidi ziwe kubwa.

Na ukidai TRA awapotezi kitu ni kodi ya ongezeko la kama unawadai elfu 10 na wewe kwa kuuza wanakudai 12. Ukitoa chako ukawapa elfu 2 yao aliekuuzia atakuwa kakuchaji 10 ya VAT na yeye wakimdai 12 yao ipo pale.

Au unadhani ukiwadai wana loose chochote na usipodai wao awawezi kukulipa hiyo hela n’goo.

The choice is yours and the entitlement to decide, ila VAT ni kodi ya mlaji wa mwisho sio mfanyabiashara.
Ha ha ha....
YAAN tra watoe pesa mfukoni wakupe ww mfanyabiashara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtaalamu upo sahihi ila usiseme kote Duniani njoo na % za Zambia wakiagiza mzigo unalipia kiasi gani, Malawi, Botswana, Uganda huo ni mfano tuu ili uone tunavyoumizwa huko SA ndio kabisaa kufanya biashara sio adhabu tatizo lao ni usalama ni zero...
Ndio maana unaona magari mazuri yakienda hizo nchi sisi tukibaki kuulizia matatizo ya Passo na IST ukiambiwa Scania Truck kwa Zambia au Malawi kodi imeongezeka ndio imefika sawa na Tsh 9m kwa gharama zote za kodi zao wakati Tanzania hiyo Fusso Tipper kodi inafika 30 milioni Tsh...
TV zipo kwenye kundi la starehe sijui fridge hizi watu wanahangaika na used wakati Sumsung na LG wanashindana kutoa matoleo mapya...
Ni wachache wanatumia mashine za kufuria nguo au za kuosha vyombo kwa sababu hivyo vitu vimetengwa kama sehemu ya anasa kumbe ni vya kawaida tuu ila kuingia kwetu ni mtihani...microwave zenyewe nje ni bei ya kawaida ila Bongo nimewahi ona wanauza bei juu sana hasa kwa hizi digital...vyombo vya ndani sio ishu ila kutokana na kodi kuwa juu navyo tumevitenga..
Ni too much, hawafikirii interms of economic of scales, wider economic impact za ajira, mishahara inayoongeza hela kwenye mzunguko wa uchumi, PAYE, VAT za kwenye mafuta, biashara kwa mafundi garage, spare parts na mambo mengine luluki ya kwenye value chain ambayo yatawaongezea mapato.

Ni big hit kwenye mapato ya serikali ndani ya mfupi. Lakini baada ya miaka 5 au 6 hayo maamuzi yakupunguza kodi yanaweza chochea speed ya ukuaji uchumi kwa kasi zaidi.

Hizo kodi za importation ni kubwa mno.
 
Ha ha ha....
YAAN tra watoe pesa mfukoni wakupe ww mfanyabiashara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona kawaida uoni wafanyabiashara wanaolipa kodi kwa accrual bases (wanaolipa kwa estimate) wakifunga hesabu kama wamelipa zaidi wanarudishiwa.
 
Ha ha ha....
YAAN tra watoe pesa mfukoni wakupe ww mfanyabiashara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wangetajirika wanachofanya TRA ukikadiliwa ile hela wanayotakiwa wakupe inapunguzwa kwenye Kodi yako anayosema jamaa ni VAT Registered sio kwa kila mtu hiyo kitu ni kwa wale ilikua mzunguko nadhani unaozidi 100m kwa mwaka mmoja wa mapato ya Kodi..sijui kama wamebadilisha maana kila kukicha wanakuja na wazo jipya..
 
Ni too much, hawafikirii interms of economic of scales, wider economic impact za ajira, mishahara inayoongeza hela kwenye mzunguko wa uchumi, PAYE, VAT za kwenye mafuta, biashara kwa mafundi garage, spare parts na mambo mengine luluki ya kwenye value chain ambayo yatawaongezea mapato.

Ni big hit kwenye mapato ya serikali Lakini baada ya miaka 5 au 6 yanaweza chochea speed ya ukuaji uchumi kwa kazi zaidi. Hizo kodi za importation ni kubwa mno.
Hizo kodi za importation ni kubwa sana tumebaki kutumia vitu chakavu tuu ni wachache wanaweza kumudu kutumia vitu bora na kama ni vipya ni vile visivyo na ubora..watu wengi wana matatizo ya macho na masikio kwa sababu ya hizi radio na TV hata colour zake hazieleweki unakuta TV inaitwa jams sijui John hata uone inatengenezwa wapi hakuna na Dukani ndio zimejaa TBS wapo na TRA wao wanataka kodi tuu..
 
Ha ha ha....
YAAN tra watoe pesa mfukoni wakupe ww mfanyabiashara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FB5DC6AB-1D22-4412-BA96-BF386D6EEE40.jpeg

Mkuu kwetu ni mlolongo ipo kwenye makaratasi hivyo sio rahisi kama unavyodhania wenzetu ukinunua kitu ukiwa unatoka Airport au mpakani unaandikisha kodi yao wanakurudishia unapewa ATM kadi ikifika Nchini kwako unakutana na Tsh ila inachukua 24hrs...sio bongo mazee
I can understand kuwa wagumu kurudisha overpayment.

Lakini na wewe unaweza kuwakata chao juu kwa juu (jumlisha na interest ya kuchelewesha).

Unawakata ukiwa na ledger una record vitu vyako, unatunza receipt, hawezi kukufanya kitu.

Vinginevyo sasa mnapelekana kwenye mabaraza ya kodi na sidhani kama watakuwa na muda huo kwenye dispute ambayo awawezi shinda obvious.
 
Mkuu tunacholalamika wafanye kazi kwa usahihi bila kuonea watu kwa kazi tunazofanya sio moja kuwa muda wote utawafikiria wao kupelekana kwenye mabaraza wakati muda huo unatakiwa ufanye kazi zingine na sio ni kwa mtu mmoja ni wengi badala ya kufikiria kuongeza uzalishaji nifikirie kwenda kwenye baraza la Kodi Mkuu ? Kila mara hilo ni tatizo na kodi nalipa..
 
Mkuu tunacholalamika wafanye kazi kwa usahihi bila kuonea watu kwa kazi tunazofanya sio moja kuwa muda wote utawafikiria wao kupelekana kwenye mabaraza wakati muda huo unatakiwa ufanye kazi zingine na sio ni kwa mtu mmoja ni wengi badala ya kufikiria kuongeza uzalishaji nifikirie kwenda kwenye baraza la Kodib ? Kila mara hilo ni tatizo na kodi nalipa
I agree ni kama kujiongezea majukumu yasiyo ya lazima.
 
Kosa wanalofanya hawaongezi tax base wao wanaongeza kodi kwa wale wale wachache kwa kuwakandamiza kodi kubwa kwa hiyo hapo Wafanyabiashara wengi wanazunguka na mikopo tuu ila kiuhalisia ni wachache wanafanya vizuri kwa mazingira haya ndio maana wanajisifia kuvuka lengo ni TRA kwa mfumo huu...
 
Kwa mfumo huo ni ngumu sana biashara kukuwa ukizangitia low purchasing power.
 
Aiseee, kama ni hivyo ndio basi tena, biashara ya importation of goods kukua ngumu sana.
 
Kosa wanalofanya hawaongezi tax base wao wanaongeza kodi kwa wale wale wachache kwa kuwakandamiza kodi kubwa kwa hiyo hapo Wafanyabiashara wengi wanazunguka na mikopo tuu ila kiuhalisia ni wachache wanafanya vizuri kwa mazingira haya ndio maana wanajisifia kuvuka lengo ni TRA kwa mfumo huu...
Mkuu una elewa nini kuhusu hiyo TAX BASE??

Mbona Serikali ametanua sana hiyo BASE mpaka tumeingia kwenye huduma za VING'AMUZI, MIAMALA YA SIMU NK.

Au ww hii tax base unaelewa nini?

Serikali inatakiwa kupunguza kodi, ili kuruhusu watu wengi walipe kwa hiyari, sambamba na kuweka sheria kali kwa wataokwepa kodi ikiwemo kifungo cha miaka si chini ya 10 au kutaifishwa mali.

Serikali imejitahisi mno hapo kwenye TAX BASE, au unataka nini kingine kitozwe kodi mkuu.

Mm binafsi nashauri wapunguze % ya kodi, na pia iangalie uwezekano kwa taasisi ambazo kimsingi zinakusanya NON TAX REVENUE kama, TPA, EWURA, BRELA nk waangalie namna ya kuviunganisha kwenye malipo ili kuondoa ukiritimba.

Mimi kama ningekuwa Waziri wa Fedha ningefanya yafuatayo.
1. Ningetoa GRACE PERIOD kwa makampuni mapya kwa miaka 3 kwenye CORPORATE TAX huku nikikazia sana kwenye PAYE, SDL, VAT ambazo hizi ndio zinarun NCHI. Yaan unahakikisha uhakiki wa wafanyakazi.

2. Personal Income tax ningeshusha kwa 50% na mashine ya EFD ni lazima, na kila biashara mpya anapewa Mashine mpya ya EFD au mfumo wa VFD. Na hapa naweke Sheria kali, kutotoa Risiti, Kifungo kisichopungua miaka 5 au kutaifishwa mali.

3. PAYE ningeshusha % kidogo.

4. Ushuru wa magari na bidhaa mbalimbali ningeshusha hadi kufikia 20 au 15%

5. BOT ingecontrol biashara ya madini, DHAHABU nk. Tuwe na akiba kubwa ya madini hayo, madini hayaozi na always yanapanda thamani.

Nitaendelea nikitoka hapa WAVUVI KEMPU......
 
Hapo mwisho MADINI hiyo wizara hawafanyi chochote?
 
Back
Top Bottom