Mnaotaka kuingiza bidhaa nchini kokotoo la TRA ndio hili

Kwenye kichwa chako hilo ndio swali la gumu kweli. Mie nikajua labda na treatment za capital allowances, taxation za group accounts ambazo kampuni moja ina miliki hisa kampuni nyingine kodi zinadaiwa vipi unakuja na kaswali uchwara kama hako.

VAT aina impact kwa mfanyabiashara ni Lodi anayolipa mlaji wa mwisho.

Swali kwako je mimi kama supplier na wewe trader VAT tunaitreat vipi?

Don’t waste people’s time na maswali ambayo kila mtu majibu anajua. Ukitaka kuongea maswala ya uhasibu njoo na vitu serious kama capital structure theories, portfolio management, managing currency risk and so forth. Lakini maswali kuulizana vitu vya kitoto
We Jamaa unachekesha sana unasema VAT hain impact kwa mfanyabiashara?

Kama haina impact kwa wafanyabiashara kwa nini wanakuwa wagumu kutoa risiti au wanatoa risiti ya bei Pungufu ili kupunguza makali ya VAT?

Mfanyabiashara akikuzia bidhaa yenye thamani ya milioni 100 si anatakiwa ilipe VAT tena cash ya Milioni 18

Hizi elimu zenu za katika makaratasi ni ujinga mtupu
 
Hili bandikola TRA kwa wanaojua kusoma between the lines ni protest kutoka TRA.ni TRA wanataka kupiga kelele kwamba hizi kodi zetu zinaua biashara sema sasa kwa watanzania na wanasiasa hawajui wafanyeje ili hii kelele iweze kusikika vizuri.Kwa mfano.Kitendo cha kutoza VAT kutoka katika cost ambayo inajumuisha tozo zingine inapaswa irekebishwe ili kupunguza mzigo wa kodi.

Tusisahu pia kwamba CIF price huwa inapangwa na TRA regardless of actual invoice ya bidhaa.Mfano kwenye magari unaweza nunua gari kwa USD 3000 lakini CIF value kwa mujibu wa TRA ikawa ni 15000 USD na watatumia figure hio hio kukokotoa kodi na matokeo ni kwamba kodi yako itakuwa maradufu ya bei ya bidhaa yako.

Kwa ufupi mimi naona ili bandiko lengo lake ni kwa TRA kuweka kesi mezani ili sasa watu wajadili na kutoa maoni ili pale ambapo panaweza fanyiwa marekebisho basi yafanyike.Ushauri wangu ni kwamba hawa TRA Tanzania waweke namna bora ya kuleta mjadala wa pamoja ili kuangalia namna ya kupunguza huu mzigo wa kodi maana kwa mzigo huu sidhani kama kuna siku unafuu wa maisha utapungua.

Ukitaka kujua hilo chukua mfano wa bei ya PETROL ambayo ni muhanga anayeathiri watu wengi. ina maana kabla hata petroli haijafika kwa muuza ji wa jumla gharama yake inakuwa imeshafika mara mbili na hii ni kwa kodi 3 yaani hizo zilizotajwa hapo ukiongeza na vikodi vingine ambavyo huwa vipogo basi mafuta yakifika bandarini yanapanda bei kwa 200% mara moja then ndipo bei ya kuuza huku kwingine inapoanza kuwekwa juu.

Naamini katika ulipaji kodi ili binafsi siwezi jisikia amani kulipa kodi kubwa kiasi hicho kwa ajili ya kwenda kuwanenepesha watu huku maisha yangu yakiendelea kuwa magumu kila siku.Inabidi tuutazame upya mfumo wetu wa kodi maana ukiongeza na TOZO NA issues nyingine lazima uongee peke yako
 
That’s not how it supposed to work

chukulia wewe trader umenunua kiatu 50 kwa ajili ya kuuza. Unataka faida ya elfu 10 kwa pair.

Kwa maana hiyo bei yako ni elfu 60 (with mark up price) kwenye hiyo unatakiwa ujimlishe tena 18% ya 60 ambayo roughly ni kama elfu 11.

Sasa kwenye kuuza bei ya retail inakuwa elfu 71 katika hiyo bei 60 yako elfu 11 VAT.

Baadhi ya wafanyabiashara wanaona mzigo auendi wakiweka VAT.
 
Sasa mtu analalamika kulipa VAT wakati yeye mfanyabiashara, inaingia akilini kweli?

Listen kama wewe ni trader umelipa VAT ya bidhaa hiyo amount unawadai baadae, na wewe pia una charge VAT kwa niaba yao.

This is why kwenye biashara kuna VAT ledger uliyolipia kwenye bidhaa unawadai, uliyoweka kwenye mauzo ni yao; muda wa malipo ukifika unawapa differences au unaweza kuwa unawadai.

Inaonekana ata hiyo concept ya VAT inakusumbua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usingeanza kuwaona watu hawana kitu kichwani, au kuhisi wafanyabiashara hawana wanalojua kuhusu kodi sasa.
Watu wanakuangalia tu.

Wewe ulipaswa kujua hakuna mfanyabiashara ambaye amesajiliwa VAT asiye na mashauri wa KODI au mhasibu anayejua hizo kodi.

Hapa ulitakiwa kueleza kuwa VAT ni kodi ambayo inachajiwa kwenye nini, na watu waelewe kuwa kuna INPUT VAT na OUTPUT VAT na kwamba wafanyabiashara hawapaswi kulalamika kwani wao tunaita ni Maagent wa TRA tu, na hiyo VAT hawalipi wao (hawatoi kwenye pesa zao wao)

Unapotoa elimu yoyote usiweke as if watu humu ndani ni wajinga ndio maana nikakwambia naamini hujui masuala ya VAT.
 
Hili bandikola TRA kwa wanaojua kusoma between the lines ni protest kutoka TRA.ni TRA wanataka kupiga kelele kwamba hizi kodi zetu zinaua biashara sema sasa kwa watanzania na wanasiasa hawajui wafanyeje ili hii kelele iweze kusikika vizuri.Kwa mfano.Kitendo cha kutoza VAT kutoka katika cost ambayo inajumuisha tozo zingine inapaswa irekebishwe ili kupunguza mzigo wa kodi.

Tusisahu pia kwamba CIF price huwa inapangwa na TRA regardless of actual invoice ya bidhaa.Mfano kwenye magari unaweza nunua gari kwa USD 3000 lakini CIF value kwa mujibu wa TRA ikawa ni 15000 USD na watatumia figure hio hio kukokotoa kodi na matokeo ni kwamba kodi yako itakuwa maradufu ya bei ya bidhaa yako.

Kwa ufupi mimi naona ili bandiko lengo lake ni kwa TRA kuweka kesi mezani ili sasa watu wajadili na kutoa maoni ili pale ambapo panaweza fanyiwa marekebisho basi yafanyike.Ushauri wangu ni kwamba hawa TRA Tanzania waweke namna bora ya kuleta mjadala wa pamoja ili kuangalia namna ya kupunguza huu mzigo wa kodi maana kwa mzigo huu sidhani kama kuna siku unafuu wa maisha utapungua.

Ukitaka kujua hilo chukua mfano wa bei ya PETROL ambayo ni muhanga anayeathiri watu wengi. ina maana kabla hata petroli haijafika kwa muuza ji wa jumla gharama yake inakuwa imeshafika mara mbili na hii ni kwa kodi 3 yaani hizo zilizotajwa hapo ukiongeza na vikodi vingine ambavyo huwa vipogo basi mafuta yakifika bandarini yanapanda bei kwa 200% mara moja then ndipo bei ya kuuza huku kwingine inapoanza kuwekwa juu.

Naamini katika ulipaji kodi ili binafsi siwezi jisikia amani kulipa kodi kubwa kiasi hicho kwa ajili ya kwenda kuwanenepesha watu huku maisha yangu yakiendelea kuwa magumu kila siku.Inabidi tuutazame upya mfumo wetu wa kodi maana ukiongeza na TOZO NA issues nyingine lazima uongee peke yako
Kuwanenepesha watu?? Wewe huoni FAIDA ya KODI??????
 
Mkuu,Huoni kwamba watu wananepa kwa kodi zetu huku sisi walipa kodi tukiendelea kukonda?Mimi naona jinsi wanavonenepa tu kwa sasa.
Wao hawalipi kodi? Hii dhana potofu ondoa kichwani mwako, sifa moja kuu ya KODI ni kwamba haina DIRECT IMPACT kwa kila mtu.
 
We Jamaa unachekesha sana unasema VAT hain impact kwa mfanyabiashara?

Kama haina impact kwa wafanyabiashara kwa nini wanakuwa wagumu kutoa risiti au wanatoa risiti ya bei Pungufu ili kupunguza makali ya VAT?

Mfanyabiashara akikuzia bidhaa yenye thamani ya milioni 100 si anatakiwa ilipe VAT tena cash ya Milioni 18

Hizi elimu zenu za katika makaratasi ni ujinga mtupu
Unajua wengi wao theory ya biashara wanataka kuiweka kwenye uhalisia ndio wanapoferi hapo...
 
That’s not how it supposed to work

chukulia wewe trader umenunua kiatu 50 kwa ajili ya kuuza. Unataka faida ya elfu 10 kwa pair.

Kwa maana hiyo bei yako ni elfu 60 (with mark up price) kwenye hiyo unatakiwa ujimlishe tena 18% ya 60 ambayo roughly ni kama elfu 13.

Sasa kwenye kuuza bei ya retail inakuwa elfu 73 katika hiyo bei 60 yako elfu 13 VAT.

Baadhi ya wafanyabiashara wanaona mzigo auendi wakiweka VAT.
Hiyo pont yako ya mwisho

Kuwa baadhi ya wafanyabiashara wakiweka VAT wanaona mzigo hauendi

Ndio muhimu na hiyo ndio point ilimfanya jamaa andike hu Uzi

Viwango vya Kodi vya TRA vina shida na believe me kama wewe ni mfanya biashara ukifuata matakwa ya TRA hiyo biashara itafirisika

Juzi kati Kuna kitu nilinunua kariakoo kwa bei ya elfu 30 nikamwambia nipe risiti akanirudishia pesa yangu akaniambia kanunue sehemu nyingine

Nikaichukua ile pesa nikaitia mfukoni alafu nikaanza kupiga nae story kirafiki tu

Akaniambia hiyo bei ya elfu 30 hapo Mimi faida yangu ni tshs 1000 hivyo nikikupa risiti nitakuwa nimepata hasara ili apate faida ilitakiwa aniuzie elfu 32 lakini Cha kushangaza hicho kitu maduka mengi bei yake ni hiyo elfu 30

Kwa hiyo viwango vya Kodi hapa Tanzania havipo sawa kwa nini VAT isiwe 10% ili wafanyabiashara walipe kwa furaha na TRA wapate base kubwa ya wafanya biashara walipa kodi
 
Duu, yaani bidhaa inaoogwa kodi, halfu ile kodi inajumlishwa kama thamani ya bidhaa halafu inapigwa tena kodi, halafu hiyo kodi inajumlishwa tena na kupigwa tena 18% , Jesus!!
 
Hiyo pont yako ya mwisho

Kuwa baadhi ya wafanyabiashara wakiweka VAT wanaona mzigo hauendi

Ndio muhimu na hiyo ndio point ilimfanya jamaa andike hu Uzi

Viwango vya Kodi vya TRA vina shida na believe me kama wewe ni mfanya biashara ukifuata matakwa ya TRA hiyo biashara itafirisika

Juzi kati Kuna kitu nilinunua kariakoo kwa bei ya elfu 30 nikamwambia nipe risiti akanirudishia pesa yangu akaniambia kanunue sehemu nyingine

Nikaichukua ile pesa nikaitia mfukoni alafu nikaanza kupiga nae story kirafiki tu

Akaniambia hiyo bei ya elfu 30 hapo Mimi faida yangu ni tshs 1000 hivyo nikikupa risiti nitakuwa nimepata hasara ili apate faida ilitakiwa aniuzie elfu 32 lakini Cha kushangaza hicho kitu maduka mengi bei yake ni hiyo elfu 30

Kwa hiyo viwango vya Kodi hapa Tanzania havipo sawa kwa nini VAT isiwe 10% ili wafanyabiashara walipe kwa furaha na TRA wapate base kubwa ya wafanya biashara walipa kodi
Kitu cha 30000 muuza duka anajuaje kuwa faida yake ni 1000?? Na kwamba asipotoa risiti faida yake itakuwa kubwa kwa mtindo gani?
 
Yaan kwa tafsiri hii
[emoji117]mzigo ukifika TU bandarini unapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia K'koo,wholesaler anapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia mtaani,retailer anapigwa V.A.T
Yaan nchi hii, Mungu atunusuru[emoji26]
 
It’s not supposed to work that way.

V.A.T kama ni mfanyabiashara unaweza idai huko unapo nunua. Kwa sababu uwezi lipa VAT nchi yeyote kama uishi huko kuna namna za kurudishiwa.

Kama importer halafu ni registered trade uwezi kudaiwa VAT at point of entry, ila utaitoza kwenye biashara wakati unauza and everyone on the value chain can claim it back mpaka kwa yule ambae anauza kwa final consumer ndio anaetakiwa kui-charge.

Technically ata mtu anae nini bidhaa Kariakoo kwa lengo la kusafirisha kuna mawili anaweza nunua bila ya VAT au akilipia basi anatakiwa aidai mpakani.

Kama ni trader wa ndani ukinunua bidhaa kwa lengo la kuuza, VAT uliyipia unatakiwa udai TRA wakurudishie the way it works in accounting unakuwa na VAT ledger.

However If the import is for personal use lazima kuna amount unaruhusiwa.

Ni hivi hakuna sheria ya kodi iliyo ya ovyo kama TRA wanavyodai, it’s so generic ilihali kodi azidaiwi ivyo.

Muhimu ni kujua sheria gani wanatumia kuonea watu; hakuna kitu kama icho kwenye sheria the way TRA works.

Hire qualified accountants kama biashara yako inafaida za kutosha. TRA sio alpha and omega wa kodi bali sheria.
 
Cheki sasa watanzania mtu unawapa elimu ya bure hata Shukran hawana.

Halafu kesho wanatandikwa.

Ama kweli kuna watu awabebeki

Haya goodluck if you think VAT is supposed to be carried over without being claimed.

Tatizo lenu kubwa ni ignorance

👋
 
Ingawa TRA pia ni washaur wa WAZIRI wa FEDHA NA MIPANGO lakini pia ndo Wana nguvu yakutoka mapendekezo mpaka Bungeni, shida iko kwenye NIA ya KODI, ni Kama inashindana na wananchi, as if ni DISCOURAGE factor. Hapa kuna TATIZO kubwa la wqliopewq dhaman kuendesha chombo hili,SIJUH LINI TUTAJITAMBUA
 
Back
Top Bottom