Mnaotaka kuingiza bidhaa nchini kokotoo la TRA ndio hili

Hapo mwisho MADINI hiyo wizara hawafanyi chochote?
Yaan hayo madini yawe under Country reserve kama hiyo BOT. Yaan huwezi kuuza wala kuextract bila ya kibali cha BOT. Yaan wao ndio wawe REGULATOR.
 
Walaji wengi mno, wakiona hawatosheki wanaanza kupiga calculation zao za kukamua wahangaikaji.

Njia pekee ni kufanya walio wengi kuwa productive kwa maana ya kuifanya tax base kuwa kubwa... Sasa population kubwa ni makada wa vyama waliozoea kuishi bure, + machawa wao matokeo yake wazarishaji wanabaki wachache.
 
Nchi za nje zinaviwanda, zina uchumi imara, zinafanya kila linalowezekana kulinda wiwanda vyao, kulinda mazingira, hali ya hewa na kadhalika. Ndio maana wameweka viwango vya kodi walivyoviweka.

Hapa Tz, ni vigezo gani vinaamua kodi ipangwe kwa kiwango gani? Msijekuwa mmechungulia viwango vya nchi nyingine mkapunguza kidogo ama kuongeza kidogo na kubandika hapa nchini matokeo yake ni kuwatesa tu wananchi wenu ambao 70% ni masikini na purchasing power yao ni hafifu.
 
Kwenye tembea tembea zangu mitandaoni nimekutana na kikotozi cha TRA kinachotumiwa kwenye uingizaji wa bidhaa hapa nchini, kwakweli kinatia kichefuchefu na kukatisha tamaa.

Jioneeni wenyewe nisiseme sanaa;

View attachment 2474370
Kodi yetu inafikirisha sana. Zaidi ya kuwa ni viwango vya juu kipta kiasi, bado tunadaiana kodi juu ya kodi.

 
Utasemaje UAE hakuna Kodi wakati Kodi wasiyotoza ni Kodi ya kipato pekee ambayo Einstein alisema ni kitu kigumu zaidi kukielewa
Kwa mujibu wa Google Dubai wanatoza only in alcohol items, so there are free tax on import, income and many other types of tax, so Dubai wanategemea hasa on non tax revenues hasa zaidi ktk oil.
 
Daah umejibu hovyo sana kuchukua hela za miamala ndio unajisifia wameongeza Tax base kwa Nchi yenye kila kitu hivi huko shule huwa mnasoma nini? Angalia idadi ya watu na idadi ya wanaolipa kodi au waulize TRA wametoa TIN ngapi kwa walipa kodi hizo VAT za kwenye mihamala,umeme ni kuwaongezea Wananchi mizigo tuu Mkuu...ndio maana unaona hata kuwakamata wakwepa kodi kila miaka ni wale wale kwa maana hawana wigo mkubwa wa kukagua Wafanyabiashara wengi nguvu kazi ni ndogo...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…