Mnaotaka kushusha heshima ya Daktari hamtaweza

Mnaotaka kushusha heshima ya Daktari hamtaweza

Mkuu tunawaheshimu mno . Sema wajinga wachache wakishakuwa vijisenti wanaanza kudharau wengine wanajiona kila wanaweza.ama wanaweza kutembea juu ya maji. Huku hawajui thamani ya kazi yenu. Udaktari Ni wito pamoja na ualimu mmeamua kusaidia kuokoa maisha yetu na sio kuwa mmeingia ili muwe matajiri Kaka/dada.
Bali Ni ule wito wa kuokoa maisha ama uhai wa watu.
Najua mnafanya kazi kwenye risk kubwa mno. Na ndio Mana Kuna wengine madaktari wanasepa Botswana ama wakiingia kanada wakaingizwa kwenye bodi yao wanaanza kufanya kazi huko wanathamini career za watu. Mana mfano huko kanada tu wanalipwa 75M tzs hapa Kenya tu wanapata 13M tzs mie nashangaa why Tanzania haithamini madaktari Bali Ni wanasiasa. Yaani daktari akakaa class 7+6+5 =18 PLUS akiamua kufanya speacilization Ni plus again 3-5years anakaa class. Chekeni wanasiasa wasiwaendeshe. Waambieni huku hatufanyi kazi kwa mdomo. Mie nachukia wanavyoingilia watalaamu utadhani udaktari Ni sawa na maтакооо kila mtu anayo. Alone advance nimechaguliwa kusoma pcb hup mziki wa pcb wake naujua nikakataa nikachenji to pcm. Mana huku Ni kanuni imetoka.
Binafsi I salute daktari. Mfano jana nimeenda haja kubwa haha haitoki dokta ujue. Inasumbua kinyama yaani mpaka nikawa nasikia Ilo eneo lote linashuka. Mpaka ngende zikaingia ndani. Nikachanika ndani ujue. Yaani niliteseka kinyama kiasi kwamba hata ningeambia toa bilioni utoe haja kawaida Kama ninayo natoa. Yaani Hakuna raha Kama kuwa na afya njema Ni utajiri mkubwa mno.
Si wagome waongezewe maslahi au waende huko Botswana na Canada, kuliko kupiga kelele kila siku.
 
daktari kwa njia anayopitia mtu hadi kuwa daktari sidhani kama ni busara kumjadili mtu anayebargain na Mungu kwa niaba ya mgonjwa.Anatomy peke yake inatosha kuwa ni degree kwa field zingine
Too overrated.
 
Waambie hao khaa si watumie hata jina nesi pia
 
Back
Top Bottom