Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Na,awe amekula maharage na mayai yaliyochemshwa.Ni kivumbi na jasho!Hapo mtu wa katikati aki jamba, lazima kiwake kudadadeki
Na,awe amekula maharage na mayai yaliyochemshwa.Ni kivumbi na jasho!Hapo mtu wa katikati aki jamba, lazima kiwake kudadadeki
Karibu iringa mkuuDar es salaam pazuri mno yaani napafananisha na jiji la Beirut
Bwashee hawa wakuja kila mmoja anakimbilia Dar,halafu analaumu usafiri mgumu,au foleni,hajui kua yeye pia ni mmoja wa walioleta hilo tatizo,angebaki kwao huko Nanjilinji wala asingepata hizo tabu,hawa watu wa Bush wanakimbilia Dar bila ramani ndio wanaoleta Jam.Usafiri wa kawaida tu ila kuna namna serikali inafeli , pia kama mtu hana ramani yakufanya huko daslamu bora abaki kijijini achunge mbuzi tu
Shukrani sana ndugu yanguKaribu iringa mkuu
😃😀😀😃😃😃😃Bwashee hawa wakuja kila mmoja anakimbilia Dar,halafu analaumu usafiri mgumu,au foleni,hajui kua yeye pia ni mmoja wa walioleta hilo tatizo,angebaki kwao huko Nanjilinji wala asingepata hizo tabu,hawa watu wa Bush wanakimbilia Dar bila ramani ndio wanaoleta Jam.
😀 😀
Dar es Salaam is the best city in East Africa 🔥🔥Dar es salaam pazuri mno yaani napafananisha na jiji la Beirut
Nitakuja huko Iringa mkuu.Nimemkumbuka sana binti mmoja.Ni mpenzi wangu muaminifu yupo pale Holiday by Night!Karibu iringa mkuu
Kuna kijiji kimoja huko kilosa kina maji ya kutosha ,udongo wenye rutuba ya kutisha , ila vijana wote wapo dar wanauza alkasusu🤣Bwashee hawa wakuja kila mmoja anakimbilia Dar,halafu analaumu usafiri mgumu,au foleni,hajui kua yeye pia ni mmoja wa walioleta hilo tatizo,angebaki kwao huko Nanjilinji wala asingepata hizo tabu,hawa watu wa Bush wanakimbilia Dar bila ramani ndio wanaoleta Jam.
😀 😀
Exactly 💯 brotherDar es Salaam is the best city in East Africa 🔥🔥
Nilivoshuka tyuh kutoka kwenye mwendokasi, na sandals ile nikaitupa hapo, nkatembea peku hadi kwa duka nkanunua ndala nkavaa na kurudi home,Pole sana,
Kwahiyo ile Sandal moja uliitupa au umeiweka kama Kumbukumbu?
Iringa kuunganishwa kwenye gridi ya taifa ni kugusa bwasheeNitakuja huko Iringa mkuu.Nimemkumbuka sana binti mmoja.Ni mpenzi wangu muaminifu yupo pale Holiday by Night!
Kuna dogo mmoja katoka kimbiji now anauza kachori analalamika Kila siku anaibiwa kachori na pweza pale kariakooKuna kijiji kimoja huko kilosa kina maji ya kutosha ,udongo wenye rutuba ya kutisha , ila vijana wote wapo dar wanauza alkasusu🤣
Polee sana, 😂😂😂😂Mimi mkanda ulikatika aseeh 😂
Karibu sana kigamboniHuko Dasilamu lazim siku moja nitakuja tuu ni ndoto yangu toka mdogo siku moja nifike Dasilamu na nitafikia kwa dada yangu kwa Mtogole
So ukatembea peku 😂😂Hakuna kitu sipendi km usafiri wa mwendokasi.
Nilinusurika kubanwa na mlango, hadi Sandals yangu ilibaki nje, nilisafiri na sandals 1,
Sijawahi rudia na sipandi tena, km bajaji na boda nimekosa, bas ntapanda dala dala.
Mwendokasi hapana 🙌🙌🙌
Aisee!Hatari sana.Ukiambiwa uchague kati ya gridi ya taifa na kisukari utaomba upewe kipi hapo bwashee!?Iringa kuunganishwa kwenye gridi ya taifa ni kugusa bwashee
Ukiwa na kipato Cha kupanda boda chukua tu hata toyoPolee sana, 😂😂😂😂