Mnaotamani kuja Dar es salaam hii ndio dar yenyewe je! Mtaiweza?

Yaani kugombania kuingia kwenye gari kuna kutumia nguvu gani hapo? Hivi watu mkoani wanaobeba magunia na kulima na kazi nyingine nzito unaweza kuwaambia kugombania kuingia kwenye gari ni kazi? Yaani ule chips mayai na tomato kisha utapata wapi nguvu ya kugombania gari?? Dar wengi hawagombanii magari kwa sababu ya kuogopa kuchafuka (kutokana na wengi wanafanya kazi za ofisini) na kuibiwa.

Na ndio maana ugombaniaji wa gari la kwenda posta kazini kwenye maofisi ni tofauti na la kwenda gerezani ama ferry kwenye shombo.
 
Wengine ule muda wa kugombania tunaachaga sana viatu mlangoni mpaka watu wakimaliza kupanda ndo tunaomba watupatie. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mnawezaje Mtani?
 
Yaani kugombania kuingia kwenye gari kuna kutumia nguvu gani hapo? Hivi watu mkoani wanaobeba magunia na kulima na kazi nyingine nzito unaweza kuwaambia kugombania kuingia kwenye gari ni kazi? Yaani ule chips mayai na tomato kisha utapata wapi nguvu ya kugombania gari?? Dar wengi hawagombanii magari kwa sababu ya kuogopa kuchafuka (kutokana na wengi wanafanya kazi za ofisini) na kuibiwa.

Na ndio maana ugombaniaji wa gari la kwenda posta kazini kwenye maofisi ni tofauti na la kwenda gerezani ama ferry kwenye shombo.
Mchana wanashindia maandazi mawili yaliyopakwa chilisosi.
 
Inatokea tu tunakuwa wabobezi Mtani. Koh koh koh.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie nilishindwa kuomba wanipatie sandals, nilisafiri na ile 1,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sitaki tena kuhusu Mwendokasiii.
 
Mimi nikiwa dar napanda bajaj tu..na dalala kama haijajaza
 
Mie nilishindwa kuomba wanipatie sandals, nilisafiri na ile 1,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sitaki tena kuhusu Mwendokasiii.
Hahahaaa. Uliona aibu Mtani. Lol. Mie ningewaomba tu. πŸ˜…πŸ˜…

Ila bana sijui kama hii adha itakaa iishe aisee mana nafuu haipo.
 
Back
Top Bottom