Mnaotamani kuja Dar es salaam hii ndio dar yenyewe je! Mtaiweza?

Mnaotamani kuja Dar es salaam hii ndio dar yenyewe je! Mtaiweza?

Mkuu, nimeoa huko iringa sehemu moja panaitwa kalenga. Nitakucheki soon nikija huko tupate 🍺 mbili tatu na kiti moto.
Hahaha njoo na samaki mkubwa , mimi kitu moto wala nyama ya ng'ombe sizipendi tu
 
Kuna dogo mmoja katoka kimbiji now anauza kachori analalamika Kila siku anaibiwa kachori na pweza pale kariakoo
Kwa sasa naona kama mikoani kuna pesa za nnje nnje kama kijana atakubali kuyakabili mazingira kwa jicho la tofauti.
 
Ndugu zetu wa Mikoani hii ndio dar es salaam sasa, huku usafiri wa umma hasa nyakati za asubuhi na jioni bila kuwa mbabe haupandi.

Nimewahi kushuhudia dada mmjoa akiwa katika purukushani za kuingia kwenye usafiri ile vuta ni kuvute, akajikuta maziwa yote yapo wazi, na yeye hakujali wala nini akaendelea kung’ang’ana mpaka akaingia na siti akapata. Hii dar es salaam karibuni sana.


View attachment 3435566
Kama swala ni usafiri wa Umma, si juzi tu wameshusha mabasi 60, hivyo hii adha itaisha, tutakuja tu
 
Ndugu zetu wa Mikoani hii ndio dar es salaam sasa, huku usafiri wa umma hasa nyakati za asubuhi na jioni bila kuwa mbabe haupandi.

Nimewahi kushuhudia dada mmjoa akiwa katika purukushani za kuingia kwenye usafiri ile vuta ni kuvute, akajikuta maziwa yote yapo wazi, na yeye hakujali wala nini akaendelea kung’ang’ana mpaka akaingia na siti akapata. Hii dar es salaam karibuni sana.


View attachment 3435566
Mtoto wa Mama kwa jina Abdul muda huu anabadili V8 tu, 😂😂😂
 
Usafiri umekuwa tatizo kubwa jijini dar es salaam.
 
Hakuna kitu sipendi km usafiri wa mwendokasi.
Nilinusurika kubanwa na mlango, hadi Sandals yangu ilibaki nje, nilisafiri na sandals 1,
Sijawahi rudia na sipandi tena, km bajaji na boda nimekosa, bas ntapanda dala dala.

Mwendokasi hapana 🙌🙌🙌
Achana na boda boda bado tunakuhitaji!!
 
Huwa najiuliza WATU WA dar wana SHIDA gani maana mi nilikuwa natembea kwa miguu, MDA WA KWENDA na kurudi bila SHIDA kabisaa



Kwishaaaaa
 
Miaka ya nyuma kabla ya mwendokasi nikiwa pale Kkoo kama saa 9 alasiri nasubiria daladala la Kkoo - Sinza... lilipofika nikatumia mbinu za kimedani kuingia kwenye basi na kupata siti katikati ya purukushani kali mara ghafla pembeni yangu akasimama mdada mjamzito na mimba yake kubwa kwelikweli... ile nataka nisimame nimpishe teja mpiga debe akaanza kunirushia maneno ya hovyo kwanini simpishi mjamzito akadai nina roho mbaya. Bahati nzuri tulipofika Magomeni Mapipa mtu wa pembeni alikuwa anashuka ndo nikapata siti tena hadi Sinza Kumekucha.
 
Hakuna kitu sipendi km usafiri wa mwendokasi.
Nilinusurika kubanwa na mlango, hadi Sandals yangu ilibaki nje, nilisafiri na sandals 1,
Sijawahi rudia na sipandi tena, km bajaji na boda nimekosa, bas ntapanda dala dala.

Mwendokasi hapana 🙌🙌🙌
Hongera sana. Ulivyo mrembo na msomi halafu bado huna gari utakuwa umekwepa mishale mingi sana.
 
Dar jina tu lakini maisha ni bora hata ya mikoani kauli ni moja tu ya yas anza ulipo
Niwahakikishie watu wa mikoani maisha mnayoyaishi ni mazuri kuliko dar, dar kama huna kipato utaishi kwa shida mno pesa inaishi kulipia pango, bill za maji na umeme
Chakula chao walio wengi ni matembele na ugali ilhali ukienda mbeya unpt msosi wa uhakika na mwanza unakula masamaki daily
 
Ndugu zetu wa Mikoani hii ndio dar es salaam sasa, huku usafiri wa umma hasa nyakati za asubuhi na jioni bila kuwa mbabe haupandi.

Nimewahi kushuhudia dada mmjoa akiwa katika purukushani za kuingia kwenye usafiri ile vuta ni kuvute, akajikuta maziwa yote yapo wazi, na yeye hakujali wala nini akaendelea kung’ang’ana mpaka akaingia na siti akapata. Hii dar es salaam karibuni sana.


View attachment 3435566
Unaujua usafiri wa vijijini wewe? Hao wa Dar wote wananukia Perfum nzuri. Wameoga na wanaenda maofsini.....Kaka Twende Tanga Handeni ukajionee
 
Back
Top Bottom