MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Kwenye huo uzi nimemuona John mtoto wa mzee kidenya amevaa kofia kumbe zile gari anazopost sio zake ?
Ni hatari sana
Ni hatari sana
Ungemwambia dereva asimamishe gari uchukue sandal yako sa mbona uliiachaHakuna kitu sipendi km usafiri wa mwendokasi.
Nilinusurika kubanwa na mlango, hadi Sandals yangu ilibaki nje, nilisafiri na sandals 1,
Sijawahi rudia na sipandi tena, km bajaji na boda nimekosa, bas ntapanda dala dala.
Mwendokasi hapana 🙌🙌🙌
Baskeli ya mama au😂😂Nakuja na usafiri wangu jirani.
Aaaah mie niliona aibu bhana, nkaiacha hapo.Ungemwambia dereva asimamishe gari uchukue sandal yako sa mbona uliiacha
Mikoani ni "ushenzini" kwa watu wa DarMtu wa mkoani anaweza kuishi popote, hata hao wa Dar wengi wao walianza kuwa wa mikoani
Ila watu wa Dar sasa ndio inabidi muulizwe, maisha ya mikoani mtayaweza? Wengi wenu wanakaa kidogo mikoani wanashindwa wanarudi Dasilama 😆😆
Mwendokasi hapana kwa kwelii, aaaaah
Sidhanii.Ni changamoto sana, ila nasikia wanaendelea kuboresha.
Hahaha Wala pweza na kachori wengi Siyo waaminifu,Kuna dogo mmoja katoka kimbiji now anauza kachori analalamika Kila siku anaibiwa kachori na pweza pale kariakoo
Baskeli ya mama au😂😂
Huu usafiri kiboko😂😂😂
Unajua kijijini kazi ni kuchunga mbuzi tu acha kukalili watu wanapiga mishindo ya kutisha vijijin hukoUsafiri wa kawaida tu ila kuna namna serikali inafeli , pia kama mtu hana ramani yakufanya huko daslamu bora abaki kijijini achunge mbuzi tu, kuliko kujaza ushuzi kwenye huo usafiri wa uma.
YeahMikoani ni "ushenzini" kwa watu wa Dar
Nikijaga dar pesa nyingi natumia kwenye usafiri ni boda tuNdugu zetu wa Mikoani hii ndio dar es salaam sasa, huku usafiri wa umma hasa nyakati za asubuhi na jioni bila kuwa mbabe haupandi.
Nimewahi kushuhudia dada mmjoa akiwa katika purukushani za kuingia kwenye usafiri ile vuta ni kuvute, akajikuta maziwa yote yapo wazi, na yeye hakujali wala nini akaendelea kung’ang’ana mpaka akaingia na siti akapata. Hii dar es salaam karibuni sana.
View attachment 3435566
Acha kutisha watuNdugu zetu wa Mikoani hii ndio dar es salaam sasa, huku usafiri wa umma hasa nyakati za asubuhi na jioni bila kuwa mbabe haupandi.
Nimewahi kushuhudia dada mmjoa akiwa katika purukushani za kuingia kwenye usafiri ile vuta ni kuvute, akajikuta maziwa yote yapo wazi, na yeye hakujali wala nini akaendelea kung’ang’ana mpaka akaingia na siti akapata. Hii dar es salaam karibuni sana.
View attachment 3435566
Kumbe huwaga mnakaririMkuu lile gari lako siku hizi umelipaki?
Kumbe ndio sababu huwa najiuliza hizi ng'ombe kwa nini zinaogeshwa kwenye gari?. Na mara nyingi zinasafirishwa kuanzia jioni sababu mchana temperature inakuwa tofauti na jioniHzo ni ng'ombe au wanyama gani uko daslam, apo zinabidi zimwagiwe maji kwa juu kila baada ya kilometres 10 kupunguza joto zisije zikafa
Utakuwa unazungumzia kijiji cha Myombo au TindigaKuna kijiji kimoja huko kilosa kina maji ya kutosha ,udongo wenye rutuba ya kutisha , ila vijana wote wapo dar wanauza alkasusu🤣