Mnaotamani kuja Dar es salaam hii ndio dar yenyewe je! Mtaiweza?

Mtu wa mkoani anaweza kuishi popote, hata hao wa Dar wengi wao walianza kuwa wa mikoani
Ila watu wa Dar sasa ndio inabidi muulizwe, maisha ya mikoani mtayaweza? Wengi wenu wanakaa kidogo mikoani wanashindwa wanarudi Dasilama πŸ˜†πŸ˜†
 
Usafiri wa kawaida tu ila kuna namna serikali inafeli , pia kama mtu hana ramani yakufanya huko daslamu bora abaki kijijini achunge mbuzi tu
Bwashee hawa wakuja kila mmoja anakimbilia Dar,halafu analaumu usafiri mgumu,au foleni,hajui kua yeye pia ni mmoja wa walioleta hilo tatizo,angebaki kwao huko Nanjilinji wala asingepata hizo tabu,hawa watu wa Bush wanakimbilia Dar bila ramani ndio wanaoleta Jam.
πŸ˜€ πŸ˜€
 
πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kuna kijiji kimoja huko kilosa kina maji ya kutosha ,udongo wenye rutuba ya kutisha , ila vijana wote wapo dar wanauza alkasusu🀣
 
Pole sana,
Kwahiyo ile Sandal moja uliitupa au umeiweka kama Kumbukumbu?
Nilivoshuka tyuh kutoka kwenye mwendokasi, na sandals ile nikaitupa hapo, nkatembea peku hadi kwa duka nkanunua ndala nkavaa na kurudi home,
Bahati nzuri home hakukua na watu, sijui ningeelezaje wanielewee. Yaan utasema nimeukurupushwa kukimbizwa.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
So ukatembea peku πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…