Mnaotongoza msichana siku ya kwanza tu mnawezaje?

Punguza ushauri, watu wana mipango yao.
Kwa akili yako unafikiri mtu mzima wa miaka 30+ hayajui haya?
Uzuri niliyemshauri ameelewa ushauri wangu,msome comment yake #8

Halafu ungekua makini ungeelewa nilichokiandika baada ya ushauri wangu,nimeandika "Nimetoa ushauri tu,the rest it's up to you''

Ushauri wangu ni kwa wenye akili ya uelewa sio kwa watu kama wewe.
 
Kweli mwanawane sie madomo zege tushukuru waliotengeneza mig33 badoo tinder na tiktok maana wameturahisishia mambo. Lah sivyo mbususu tungekuewa twazijulia kwa picha tuu
 
Aruke tu atakavyo sio shida zetu. Finali uzeeni mzeebaba, wababa wengi mnalia peke yenu na kuona wake na watoto wenu wakatili 😎
Taifa hujengwa kuanzia ngazi ya familia,
Sasa kama familia zitavurugika tutakua na taifa la watu wa aina gani?
Mkewe akijua inaweza kupelekea mpaka akadai talaka,huoni kua watoto ndio watakao pata tabu?

Taifa bora hujengwa na familia bora,so familia yake ikivurugika,sio hasara kwake tu bali ni kwa taifa,so kumshauri mtu kama huyu sio mbaya,

The purpose of human life is to serve and to show compassion and the will to help others,the greatness of humanity is not being human,but being humane.
 
hivi siku hizi aya mambo ya kutongozana bado yapo
 
Siku hizi kila kitu kimerahisishwa na hizi Bongo flavour! Ukikutana nae 1. Salamu 2. Moja kwa moja kwenye mada 3. Mnakutana wapi. Imetoka hiyo!!
 
Mara ya kwanza ukiwa unasubiri dalala kutokumwambia chochote ni sawa✔️
Mara ya pili kukutana nae getini na kuishia kumsalimia ni sawa✔️
Mara ya tatu kukaa nae siti moja kwenye daladala na kuleta udomo zege si sawa✖️

Kukutana tu na demu siku ya kwanza na kuanza kumtongoza hilo ni wenge ni ishara ya tamaa usi behave kama vile muwindaji, unaweza kumtongoza demu siku ya kwanza kutokana appearance yake au namna yake ya uongeaji kuna demu akiongea tu unajua huyu ni mapepe hao ndo unaweza kutongoza siku hiyo hiyo ila wale watulivu ni mchakato kidogo
 
Lakini acha kutuzingua! Ulipataje mke, au uliletewa kama parcel ya zawadi na kuambiwa uishi nae!!
 
Okay hapa naona kulikuwa na kitu cha kujifunza japo kuna ushauri hapo juu uko konki mzee hadi nawaza sana kuhusu kuchepuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…