musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
MKUUSorry weledi sio welding na eneo sio enjoy tukanusurika typing error
Sawa usijelia yakikukutaHakuna sehemu salama mkuu,ata guest watu wanafia wakiwa kifuani wamelala
Ni kama serikali imewaacha wajiamulie watakavyo! Vile vidogo vihuni vihuni vilivyokuwa kwenye boda boda ndo vimehamia huko kwenye bajaji. Yaani uhuni wote unaouona kwenye maboda boda sasa hivi ndo uko kwenye baji, mamlaka zisipochukua hatua mapema soon tutaanza kulia.Wasalaam
Vijana wengi wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta hii nyeti.Wengi wa vijana hawa hawana welding wa kutumia vyombo hivi na wengineo kama wana weledi basi ni wahuni
Mara mbili napanda bajaji tunasurika na ajali...gari ziko kwenye mwendo yeye anafosi kuingia
Leo aliingia kwenye lane ya mwendo kasi kwa ghafla,bahati nilikuwa kwenye basi la mwendo kasi...kama dereva wa basi angekua na roho ngumu angewafagia...dereva alichepusha gari kulia tukasababisha ajali nyingine
Mpaka natoka enjoy la tukio watu wawili walikuwa chini (bodaboda) na mwingine uvunguni mwa basi nikaacha watu wakihangaika kumtoa
Tuwe makini na babjaji afadhali hata boda boda
KabisaHakika, mie bajaji akishafanya foul kusimamia tu nlipomuita naghairi afya yangu ni Bora zaidi
Wao wana serikali yaoMadereva Boda na bajaji ni km Wehu vile, hasa wakishatupia mjani na kisungura, basi wanajiona wana paa tyuh.
Wanakera kinoma.
Ni hatari mkuuNi kama serikali imewaacha wajiamulie watakavyo! Vile vidogo vihuni vihuni vilivyokuwa kwenye boda boda ndo vimehamia huko kwenye bajaji. Yaani uhuni wote unaouona kwenye maboda boda sasa hivi ndo uko kwenye baji, mamlaka zisipochukua hatua mapema soon tutaanza kulia.
Gesti wanafia sawa, lakini la 'kifuani' hapo umebonyeza sana, pia umenikumbusha mbali!Hakuna sehemu salama mkuu,ata guest watu wanafia wakiwa kifuani wamelala
Kabisa leo hawa jamaa wanaweza kuwa wamesababbisha mauti ya watu3 lanes ya kimara to mbezi unakuta bajaj anakomaa lane juu,kipiston chake ki1 anataka kushindana na piston 4,jn short serikali inabidi itoe darasa namna ya kutumia highway,bajaj na malori zinatakiwa zipite lane ya chini,lane ya kati gari isie na haraka zake,juu huku kuanzia speed 60 na kuendelea
KabisaHatari sana