Mnaotumia bajaji route za barabara kuu kama Morogoro rd kwa wakazi wa Dar kuweni makini

Hili ni nchi nzima, Bajaji kufanya route zake ndani ya barabara za taifa ni jambo a ajabu sana kuwahi kufumbiwa macho na Mamlaka.

Bajaji kwa uzito wake zilitakiwa kubaki barabara za ndani tu.
 
We una akili kweli?yaani afadhali ya bodaboda kiusalama kuliko bajaj?!
 
Hakuna watu wapmbv madereva kama wa boda,bajaji

Ova
 
Kuna haja hawa madereva wa bajaji na bodaboda waende VETA nao.
 
Bajaji wa Morogoro road ni wa kuangalia Kwa jicho la kiupelelezi wanasababisha ajali nyingi za watu kugongwa kwenye taa, maana wanapakia kwenye taa na kwenye zebra watembea Kwa miguu wanashindwa kuangalia usalama wa bara bara kabla ya kuvuka kwani bajaji zimejaa pa kuvukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…